Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hapa ni khayelitsha, capetown. but capetown still reign as africa's no1 city! [emoji848]. yatafakari ya babu..View attachment 1802666
Sasa hao wa South Afrika na nyie mna tofauti gn? Wote ni monkeys tu Mana nyote nyie maeneo ambayo kdg ni mazuri ni yale wanayoishi foreigners especially whites lkn wanapoishi natives ni usenge mtupu.
 
huna hoja,,,,

endelea kupost estate huku ukiugua taratibu hiyo ndiyo kazi unayoiweza
 
Zile nyumba Za Dodoma hazijamalizika pale bado panaendelea kujengwa barabara nk ni nyumba ndio zimeinuka

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Lakini Dodoma ni pakavu, tuambiane tu ukweli. Mimi mji ninayovutiwa na mandhari yake hapo Tanzania ni Arusha. It's just green and welcoming. Personally I just love green environment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…