Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila kitu kwanza Barabara na Reli zinaelekezwa wapi??
Mikoa yote ya Tanzania imeunganishwa kwa barabara za lami.

Reli inatoka Dar es salaam, Morogoro kisha Dodoma, Tabora, Kanda ya ziwa na kuunganishwa na nchi Jirani.

Au ulitaka iwe reli to nowhere kama ya failed state?
 
Mbona Madiwani wamekataa mkoa mpya wa Chato??Magu angekua hai[emoji120][emoji134][emoji85]
Hata JPM akiwa hai hakuwahi kukubali kufanya chato kuwa mkoa na alikuwa na uwezo huo.


Ukabila utawatafuna miaka nenda rudi.
 
Update: BRT Kenya




MY TAKE
Naomba kuuliza hapo median section mtu wa wheel chair anashuka au kupanda vp?
 
In authorised
Update: BRT Kenya




MY TAKE
Naomba kuuliza hapo median section mtu wa wheel chair anashuka au kupanda vp?
Nashangaa Unauthorised personnel wanawezane ingia construction site na kupifa picha...
 
looks like Rwanda wanataka kuspecialize in Basketball sport over football sport ..
Nature ya urefu inawabeba hasa kwenye huo mchezo kama wakiamua kweli watatoboa kikwelikweli.
Mana mchezo huo hahutaji watu kama kina ngasa.[emoji16]
 
Karen ni ya whites tu
Hawajawahi kuachia ardhi yao
89% ya Karen residents ni Europeans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…