Sina muda kwa mada ulioanzisha mwenyewe 🤣🤣🤣 kama umeanzisha mada leta ushahidi wewe kama ww sio unitume hujaniajiri wewe mzeeHauna muda kwa sababu unajua hautapata mahali Tanzania imetajwa mbele ya Kenya
Hakuna misitu sindio 🤣🤣🤣 yani ndio munafananisha na masaki nyinyi mumerogwa nakwambia 👇👇👇👇Eti anataja density. Huyu kilaza atashtuka lini? Hajui kwamba maeneo ya kitajiri kote duniani ni exclusive neighborhoods na hayafai kuwe na population ya juu? Ama unataka Karen iwe na apartment kama mswaki wao?
Cheza na bunju kwanza alaf baadae iwaze masaki👇👇👇😂😂Unalingamisha Mswaki wenu wa apartments na Karen mta a tajika duniani? Hivi una akili kweli? Karen inacheza ligi ya daraja la kwanza
Mswaki linganisha labda na Lavington japo nahisi hata Lavington iko mbele yake
View attachment 1799718
View attachment 1799718
Kabisa au sio 😀😀😀🧐😂😂😂
Hutaki au ?? Unataka ziwe nn ?? Hebu tueleze sasa🤣🤣👇👇👇Tunaambiwa eti hizo maghorofa si apartments za watu kuishi. Eti hizo ni UN offices 😂 😂 😂 😂
Nadhani hii ndio mara ya kwanza Bunju kutajwa humu [emoji23][emoji23][emoji23]Cheza na bunju kwanza alaf baadae iwaze masaki[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]
Sasa ngoja wakuletee appartments na estates zinazomilikiwa na wachache usikie kelele 🤣🤣🤣 alaf biashara ya nyumba ni biashara kubwa sana kenya kwasababu wengi hawana makazi wala ndoto ya ardhi 😁😁 sasa wale wachache ndio wanatumia kama biashara kwa wengi kwasababu nyumba ni hitaji la basic need 😅😅😅😅Nadhani hii ndio mara ya kwanza Bunju kutajwa humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna sehemu kibao za Dar sijawahi ona zikitajwa humu.
Uki-rent bedisita unaitwa middle income kenya [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ngoja wakuletee appartments na estates zinazomilikiwa na wachache usikie kelele [emoji1787][emoji1787][emoji1787] alaf biashara ya nyumba ni biashara kubwa sana kenya kwasababu wengi hawana makazi wala ndoto ya ardhi [emoji16][emoji16] sasa wale wachache ndio wanatumia kama biashara kwa wengi kwasababu nyumba ni hitaji la basic need [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio kwao ukiwez rent besitter basi wewe ni middle class🤣🤣🤣Uki-rent bedisita unaitwa middle income kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona paa la "Kisumu international Stadium"? Nalo litakuja kuporomoka center of gravity ipo so raised upepo kidogo utanyanyuka nalo!Sisi tumesoma sana 🤣🤣👇👇👇
Huku tanzania nyumba unauziwa from 15m to 25m depending on size alaf unapewa period time yakulipa about 25yrs 🤣🤣Watumishi Housing Bunju B.
View attachment 1799768
Una data za occupancy Office spaces?Watumishi Housing Bunju B.
View attachment 1799768
Alaf ukiskia cost yake sasa utacheka 🤣🤣🤣 tukisema kenya inamilikiwa na wale wale wanakasirika bure tuUmeona paa la "Kisumu international Stadium"? Nalo litakuja kuporomoka center of gravity ipo so raised upepo kidogo utanyanyuka nalo!
Leo wako kimyaaa!Alaf ukiskia cost yake sasa utacheka 🤣🤣🤣 tukisema kenya inamilikiwa na wale wale wanakasirika bure tu
🤣🤣🤣🤣 wako twitter huko wanalia kama watoto wadogoLeo wako kimyaaa!