Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mabibi na mabwana hawa ndio wale wakenya wanaojigamba kuwa wana elimu bora [emoji23][emoji23][emoji23]

Oneni kilichoandikwa hapa na huyu akili mgando.
 
Hio kiwango ilipangwa na KBS ama??🀣🀣 tuoneshe organised residential bila estate leo mm nicheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekuuliza swali je wasiponunua anafanya nn mwenye hio estate?? Jibu swali kwa kutumia akili nyingi sana tafadhalπŸ˜…πŸ˜…
Haitakosa kununuliwa, sio Kenya dogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, haijatokea bado..,na haitatokea., Na ikitokea benki inamiliki na kupinga mnada kwa sababu most investors wanatumia loan, na ni raiya wa Kenya., ukitaka jinyongeπŸ˜‚πŸ˜‚ na majority real estate businessmen sio wanasiasa ama familia za wanasiasa, ama bado utapinga kilaza?.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Umeweka forest na mashamba yote yaliomo ndani ya karen area??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wivu instead of responseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ya Tanzania iko wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Shamba za hayati hebu zitaje ?? Unafkiri tanzania kuna umimi kama kwenu πŸ˜‚πŸ˜‚ familia moja inamilikia ardhi ya kuweka wakenya 20million alaf wako hapa kushangilia
 
Ressoning yako ni ya kijinga sana. Hiyo forest iliyoko Karen ni gani? Hebu itaje kwa jina. Na hizo mashamba zinaitwaje ?
Huyo amefika Kenya amezurura Karen, wewe hujui hiloπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., anajua hakuna mkenya anaweza nunua nyumba kama si mwana siasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, heshimu huyu dogo semi illiterate πŸ˜‚
 
Na wanaopanga waliweza kununua??🀣🀣 au hujui majority wame rent au unataka facts nijibu labda unashida na facts

mm huna chakunidanganya labda munichukie kisa naanika chupi zenu 🀣🀣
 
Huyo amefika Kenya amezurura Karen, wewe hujui hiloπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., anajua hakuna mkenya anaweza nunua nyumba kama si mwana siasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, heshimu huyu dogo semi illiterate πŸ˜‚
Kwamba karen ni estates na wamikiki wa estates kenya wanajulikana sasa unataka nn tupige hesabu za ramli ama??🀣🀣🀣🀣 hasira ya nn budaa kama ndoto huna huna tu
 
Sasa ni wakati wakujionea modern electric railway in africa πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Hio kiwango ilipangwa na KBS ama??🀣🀣 tuoneshe organised residential bila estate leo mm nicheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ona ulivyo falaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., estate sio residential kwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., nyambaff am trying to reason with an idiotπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., lishamba., unajua maana ya estate kweli? Kenya tunajenga residentials in areas known as estates., na sio lazima nyumba zifanane kilaza, akili za kitanzania hizi ni ovyo kweli, eti nionyeshe residential bila estate,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kenya ain't Tanzania or Uganda., mko na same characteristics na Uganda na Burundi.,
 
Kwamba karen ni estates na wamikiki wa estates kenya wanajulikana sasa unataka nn tupige hesabu za ramli ama??🀣🀣🀣🀣 hasira ya nn budaa kama ndoto huna huna tu
Ona hizi fikraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kumbe lishamba halijui maana ya estate ni nini, sasa nimegundia maana ya estate in Kenya sio maana ya estate in Tanzania., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Estate Tanzania ni ya akina Diamond na wanasiasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Poverty stricken nationπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
please and i still begg again and again..... hebu mushift frm Socialist/Communist (Ujamaa) to Capitalist (Ubinafsi).
hebu muone tu vile hizo systems mbili ilivyo separate hizi nchi mbili mara mbili kimaendeleo yani.. hii ni picha ya North Korea vs South Korea usiku kulingana na picha za NASA.. ona, vile Pyongyang ni ka dot tu, lakini south korea nayo!?..
πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mnakama miaka 100 hv mfike mahali Russia wako leo so shut the x up
 
So kunyan uchumi wenu uko sawa na japan?thamani ya pesa na uchumi vitu viwili tofauti nyie nyang'au

View attachment 1798768
Hii response yako is a fallacy if I put it in context of your argument,
Na pia usiitaje Japan sentensi moja na Tanzania kwa vile hela yenyu haina value😝., keti chini nikufunze kidogo using layman language, Japan na China ni net exporting economies, so foreign exchange works in their profit margin, kwa hivyo wana devalue ama kuangusha their currency to benefit in international trade where dollar and other major currencies are used. Kwa Tanzania, pesa yenyu haina value not because nyie ni exporting economy, kwanza worse nyie ni net importers wa kubwa, ni ufukara, uzembe na ujamii ndio ili lead to inflation, pesa yenyu ikaporomoka in value, working to your disadvantage hadi wa leo.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…