Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kelele yako hapo Tandale won't change anything
Hizi ni watanzania wananunua?
View attachment 1798067View attachment 1798068View attachment 1798069View attachment 1798070View attachment 1798071View attachment 1798072View attachment 1798073View attachment 1798074View attachment 1798075View attachment 1798076View attachment 1798077View attachment 1798078
Yafaa pia utambue serikali imewekeza pesa nyingi katika miundombinu ya msingi, maji,umeme,barabara...mtoe credit where it due msiwe wanafiki
Naona beats zinabadilika! MtatiiWachache sana wakuhesabika wengi mnapangishaa mzee Acha kujifaruji
Wewe hua unakuwanga sober, sio kama hawa wengine. I always give credit where it's due. Ki ukweli Mimi sio mnafiki. Mnafiki mkubwa hapa tena mbishi kuliko wote ni ndugu yako Ichoboy. Yenye hupinga hadi kitu kilichowaziYafaa pia utambue serikali imewekeza pesa nyingi katika miundombinu ya msingi, maji,umeme,barabara...mtoe credit where it due msiwe wanafiki
victoria or morocco?
Ichoboy mnamtibua wenyeweWewe hua unakuwanga sober, sio kama hawa wengine. I always give credit where it's due. Ki ukweli Mimi sio mnafiki. Mnafiki mkubwa hapa tena mbishi kuliko wote ni ndugu yako Ichoboy. Yenye hupinga hadi kitu kilichowazi
Huyo jamaa ni mbishi sana, kubali tuIchoboy mnamtibua wenyewe
Huu mradi wa Seven eleven upo kawe, ikikamilika huu utakua mradi wa kuvutia sana .. utakua na majengo nane yenye floors 18 each .. huu apa 👇victoria or morocco?
Wewe unaniwekea porojo?give me real statistics ni kweli kwenye mambo machache mmetuzidi lakini pia mengi tumewazidi sana.weka relevant evidence sio porojo za mitandaoni
Hii miradi though fancy na inapendezesha jiji kwa sasa sioni tija yake! Labda kama ikienda kujengwa Dodoma ambayo itaendelea kukua for the next 50 years! Time will tell, maana Dar Real Estate market imedorora haswa baada ya serikali kuhamishia taasisi zake Dodoma na sioni hilo likibadilika labda kama zoezi la kuhamia Dodoma lisitishwe! Tuache kudanganyana!Huu mradi wa Seven eleven upo kawe, ikikamilika huu utakua mradi wa kuvutia sana .. utakua na majengo nane yenye floors 18 each .. huu apa 👇.
Hii ndo miradi ya kushangilia sio miradi ya Real Estate wakati occupancy ya iliyopo ipo chini ya 50%! Kuna wakati ilifika mpaka Bunge likataka kuzuia voluntary retirement kwa vile mifuko ya jamii haikuwa na fedha kulipa Wastaafu! Mpaka serikali ilipoingilia kati ku-merge mifuko na kubaki na miwili na pia kulipa madeni ya mifuko ya mafao. Hii NHC nayo isipoangalia itaenda kufilisika itajenga mahekalu (monuments) sehemu zisizohitajika kwa sasa!mradi wa umeme wa mto Malagarasi kumbe upo.. [emoji1241]
hizi 15b walizopewa, Magu alikuwa anawadirect wajenge hospitali za kanda
Hii sio mbaya let them wamalize miradi iliyokuwa stagnant maana kiuchumi hai-make sense jengo kama la Morocco Square kuachwa bila kumaliziwa maana lita-deteriorate! Ila masithubutu kuanza miradi mipya wakati Real Estate occupancy ya Dar ipo chini ya 50%! Waangalie kujenga makazi sehemu zenye uhitaji haswa Dodoma! Huku Dar kazi yao ibaki ku-market miradi yao mpaka ocuupancy ivuke 70%!
Kwahiyo nawewe NDINDA una-support miradi ya utopolo wakati occupancy ya iliyokamilika ipo chini ya 50%? seriously??Victoria, There is an old building that was to be built near Viva towers or Adjacent to City Lodge Hotel, it was moved to Victoria. All the digging was done but stalled. Its a 25F building.
Kwani huwajui? Inferiority complex husumbua hawa watu sana. Kwa upande moja wanadiss apartments and gated communities. When they get the chance to post the few decent apartments and gated communities that they have, zinashabikiwa hadi watu hunengua viuno! Yani kitu yenye sisi tunayo ni kibaya. The same thing (or even if it's of lesser quality) ikipatikana kwao ni kizuri.Fumba Town ya Zanzibar inayojengwa na Kampuni ya Kikenya is the only thing close to an estate with roads - alafu roads zenyewe tu ni zenye ziko within the gated community - outside hakuna access roads. 🤣🤣🤣
Cha kushangaza mnadiss mfumo wetu alafu tukiwaletea huo huo mfumo kwenu inakuwa ndio bragging point yenu. 🤣 🤣 🤣
nianzie wapi nimalizie wapi?.. i mean in each and every aspect!.. yani kila kitu! gdp yetu ni ×2 ya tz sooo...... our budget alone is still more than the combination of the rest of east africa, sooo...Weka evidence
hapo hakuna lami kote hapo kuna barabara za zege,,,Oyster Bay is your best. Kama your best has no paved roads sasa zingine zitapata wapi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Dream houses ulizopost ndio hizi hapa. Nionyeshe lami. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1798021
kawaulizeKwn wenyewe wajinga wajenge alafu wasijumuishe bei ya hvo vyote wakati wa kuuza
Tukileta data za zile vitu tumewazidi mnaleta siasa ndani. Kijana wenu Ichoboy is very good at thisWewe unaniwekea porojo?give me real statistics ni kweli kwenye mambo machache mmetuzidi lakini pia mengi tumewazidi sana.weka relevant evidence sio porojo za mitandaoni