Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umemfinya kende huyo[emoji23][emoji23][emoji23] Ichoboy analia ametukanwa[emoji23][emoji23]
Mpka nashangaa mimi walai, ndio namuuliza katukanwa kaambiwa nn mzee bado zii...
Leo nataka kujua km huu uongozi wa jf unaendeshwaje, km ni wa kimagumashi tutaujua tu
 
Kazi imeisha kwa kutoa matusi, mm mtu akianza kutukana hua sijibizani nae nakwambia kabisa ww kama unataka kutukana mm sio mtu wa sampuli hio
Naona maji yamekukalia kooni mzee, kwhyo we kaba tu haina haja ujitie huzuni na wakati dunia tamu tu mbona
 
So unanitukana au ??? Moderator
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
We unayajua matusi mzee, hehe!!mzee umepanic sio kw ubaya..
We unajua kusoma na kuandika kweli!! maudhui yangu na yako unafikiria yatafanana!! au unafikiria ninachokiandika mie basi lazima kifanane na vile unavyofikiria wewe..
Hapo umefeli. We sema hukuelewa namaanisha nini wala sio eti ukurupuke useme umetukanwa
 
Amezoea kubembelezwa kwao[emoji23][emoji23][emoji23] hii jf si ya mamake
Kisha jamaa anajisifia kiswahiki kumbe hawezi kukisoma na akakielewa..yeye ywafikiria kiswahili ni lugha ya kuichukulia juu juu tu, si basi ataumia sana km atakua ywasoma vitu na kujijazia mwnywe
 
Huyo mnenguaji amepanic 😂😂😂 mwache avute pumzi kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…