Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umetukanwa umeambiwa nini, mbona mziki ni km umekushinda vile..
Hili disco dume unenguaji marufuku sasa km utalazamisha basi itabi uwe mwana- muume
 
Sema mlijipenekeza tuu sasa nyinyi mnauwezo wa kuwasaudia india kwa lipi ebu acheni unafki pelekeni msaada turkana uko watu wenu wanakufa na njaa
Wanashinda kulipa madeni na kuwapa watu wake chakula 🀣🀣🀣 turkana kuna umaskini sio wa dunia hiii
 
Umetusiwa umeambiwa nini mzee[emoji1787][emoji1787]
Emu jieleze kidogo manake huenda ukapata nusra kutoka kw mods
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
So kwann unatoa matusi ya nn sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww umevamia mada jibu tu bila kuanza kutoa maneno ya kikeni [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwn bado mada yako unaendelea nayo mzee[emoji1787][emoji1787]
Nicxie kazi imeshaisha huku, mnenguaji leo kaingia cha kike..nadhani ukifuatilia comment zake utakuta jamaa keshakata tamaa kitambo tu hta mada hana hamu nayo tena
 
Kwn estate nin nn mzee[emoji1787]
Wajua nikisoma comments zako mpka nimeingiwa na wasi wasi ikanibidi nije nikuulize hili swali..manake huenda ikawa unageresha geresha tu maneno lkn kumbe hta neno estate hulijulii maana

Jomba Acha kukaza fuvu ilo iachie akill yako ifanye kazi yake
 
Kwn bado mada yako unaendelea nayo mzee[emoji1787][emoji1787]
Nicxie kazi imeshaisha huku, mnenguaji leo kaingia cha kike..nadhani ukifuatilia comment zake utakuta jamaa keshakata tamaa kitambo tu hta mada hana hamu nayo tena
Kazi imeisha kwa kutoa matusi, mm mtu akianza kutukana hua sijibizani nae nakwambia kabisa ww kama unataka kutukana mm sio mtu wa sampuli hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…