Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa unapata tabu sana yn mpk unaokota picha za mtandaoni, Nicxie hizo picha co za Tz usifosi tuwe km nyie mkuu unajiumiza bure, hakuna mazingira km hayo Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umefinywa kende manina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilikuuliza unataka nikuletee picha ya nyumba, quantity surveyor, contractor pamoja na jina ya mwenye nyumba hadi na number zake za simu ndio ujue kajenga kulingna na ndito zake hukunijibu. Wewe akili yako huwa inapiga laps kidogo
Soma swali vzr na ujibu kwa ufasaha nimekwambia niletee nyumba zilizojengwa na matajiri wa kenya tofaut tofaut nyumba za dream zao ukipata unitag sasa nianze kukupa soma vzr kwa utulivu 🀣🀣🀣🀣
 
Nusu ya Nairobi ni misitu kwa sababu zaidi ya nusu ya Dar ni uswazi
Umekiri kwamba nusu ya nairobi ni msitu sasa usishnagae kuskia kibera alone ina 2.5m people yani ni simple mathematics 🀣🀣

uswazi sio slum na ndani ya uswazi kuna nyumba za heshika kama bilivokupitisha tandale 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Magomeni kagera after zoomingπŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
Bandari college after zooming πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Yani kilaza ww uwe na akili ya kumsinda alietengebeza simu unayotumia ww na internet yake🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yani leo Nicxie awe na akili ya kumshinda mzungu 🀣🀣🀣🀣 na huyo huyo mzungu kaona slum dunia nzima hakuona dar

yani mtu anaforce tufananeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hebu tuzoom kwa pamojaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hapa Dar haijaisha. A million pics imagine! πŸ˜‚ View attachment 1795686
Ilala iko wapi
Kijitonyama iko wapi
Masaki and oyesterbay iko wapi
Upanga iko wapi??
Mbezi iko wapi
Ubungo iko wapi?
Pspsf and mnf and TPA tower ziko wapi
Rita tower iko wapi

picha hii ni ya miaka 30 iliopita 🀣🀣🀣🀣
Na kama ww mwanaume una kende bisha
 
Rudi hapa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Tunaongelea green spaces bongolala. Fatilia thread. Unazoom ndio tuone nyasi au miti?
Green space wakat ardhi za watu 🀣🀣 unaongelea green space wakat nusu ya nairobi ni misitu alaf ukiambiwa kibera ina 2.5m people unakasirika πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tupeleke kwa wakenya over 3m wanapoishi sasa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ unatuonesha za wenyewe ambayo mtu akipanga bedaitter nae ashakua middle class, eti nye nye nye kwann mzungu kaona slum za dunia nzima hakuona darπŸ˜€πŸ˜€ dunia hii nani haijui kibera slum au mathare

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…