Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa wale wanaoichukia Kenya itabidi mjinyonge tu maana maendeleo yanazidi kufanyika huku. Sasa tunajitayarisha kuzindua nyaya za umeme kutoka Kenya hadi Ethiopia. Wenye wivu wajinyonge




Yani mnauziwa umeme na waithopia unakuja kujitamba hapa 😅😅😅
 
Kwa wale wanaoichukia Kenya itabidi mjinyonge tu maana maendeleo yanazidi kufanyika huku. Sasa tunajitayarisha kuzindua nyaya za umeme kutoka Kenya hadi Ethiopia. Wenye wivu wajinyonge



mbona kila nchi inafanya hii regional grid interconnection? Tena Tanzania ina both East African power pool and Southern Africa power pool!

 
Hawa majamaa sai hwana hamu nairobi, jamaa eastleigh ilikua hata haitajwi haitajwi humu..
Lkn nakwambia ingelikua iko dar basi tungelizungushiwa mipicha lukuki humu
Sisi kwa mambo kama haya ni kawaida sana kwetu...lakini wao wameishi kupost kariokoo kila siku.mimi huwambia hivi vijikariokoo ni vingi sana hapa Nairobi lakini hatujitambi

Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
 
Si ndiyo hizi hapa nyumba wanazoishi Watz wa kawaida au hamtaki? Kwn wenzenu wanaporudi huko kwenu hawawaambii ukweli vile mTz wa kawaida anaishi, ona dream houses with no slums [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1664][emoji205][emoji86][emoji85][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji2781][emoji706]
 
Wakenya mnaona environment ya Dar inavyopendeza yn pasafiii km pamefagiwa vile hahahahaaa, watu huku ni wasafi naturally aisee alafu huku ni uswazi ndani ndani kabisa, kwn nyie wenzenu wanaokuja huku huwa hawawaambii ukweli[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inaitwa strengthening bilateral relations, ujaona juzi safaricom wamepewa kibali

Semeni tuu hamna uwezo wa kuzalisha umeme wa kukidhi mahitaji yenu kama mngekuwa nao unadhani mngenunua umeme Ethiopia Acha kujifurahisha mzee
 
Hapa co Beach [emoji3553] tafadhali sn hapa ni uswazi ndani ndani kabisa kudadadeki kwnn msitamani kuwa watanzania [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Now nawapiga na picha za uswazi ndani ndani, nmegundua zinawaumiza sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
We jamaa mhuni sana[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…