The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hasa huyu chokoraa Nicxie hanaga jipya, yeye huwa anaweka vipicha vyake vya upande upande daily hivyo hivyo, hachoki huyu jamaa aisee watu tunapost picha mpya yeye anakazana na zile zile tu au Nairobi ni stagnant city nn? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]DAR
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]machokoraa wakikenya endeleeni kupost local estate hizo hizo miaka nenda rudi,,,
hamna jipyaView attachment 1795122View attachment 1795123View attachment 1795124View attachment 1795125View attachment 1795126View attachment 1795127View attachment 1795128View attachment 1795129View attachment 1795130View attachment 1795131View attachment 1795132View attachment 1795133View attachment 1795134View attachment 1795136View attachment 1795137View attachment 1795138View attachment 1795139
You keep changing lanes every now and then. This is Nairobi cbd taken in different anglesSoma vzr nilichokuomba ufanye na co kukurupuka onesha CBD zenye misitu minene km ya Nairobi wacha upuuzi, and btw were not u who said that westerners want to restore their cities? What does that statement mean?
Hata matajiri wao hawana nyumba za dream zao either wamenunua au wamepanga hao matajiri wao 🤣🤣🤣🤣 alaf ndio wanakuja hapa tushindane
Nyumba kama hizo nikianza kupost hapa sitamaliza hata Loresho pekee in a dayHasa huyu chokoraa Nicxie hanaga jipya, yeye huwa anaweka vipicha vyake vya upande upande daily hivyo hivyo, hachoki huyu jamaa aisee watu tunapost picha mpya yeye anakazana na zile zile tu au Nairobi ni stagnant city nn? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hoa waliojenga mjini ni watanzania? Ama hizi nyumba ziko Nairobi zilianguka kutoka mbinguni?Watoe wapi, utaskia wakisema watu wanajenga ushagoo sio mjini
No, thank you. Sili mchuzi wa albinokaribu sana ujipatie msosi najua njaa lazima utakuwa imekushika
Achana na huyo kijana mwehu.You keep changing lanes every now and then. This is Nairobi cbd taken in different angles
View attachment 1795208View attachment 1795209View attachment 1795210View attachment 1795211View attachment 1795212
Nionyeshe misitu hapa (as you foolishly call them). Ama kitu hamtaki kuona ni any element of green leaf?
Na ni wapi nilisema westerners are restoring their cities? Ni kizungu huelewi kama wenzako ama?
These people are just cut from the same piece of cloth. Wote ni wabishi
duuh,,albino tena!!!!!No, thank you. Sili mchuzi wa albino
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]You keep changing lanes every now and then. This is Nairobi cbd taken in different angles
View attachment 1795208View attachment 1795209View attachment 1795210View attachment 1795211View attachment 1795212
Nionyeshe misitu hapa (as you foolishly call them). Ama kitu hamtaki kuona ni any element of green leaf?
Na ni wapi nilisema westerners are restoring their cities? Ni kizungu huelewi kama wenzako ama?
Si wajua tu? 😂 😂duuh,,albino tena!!!!!
Nafikiri kuna kitu umemfundisha uyo chokoraa mwenzio mana badala alete CBD iliyo na dense forest yeye analeta residential areas, ss kwa residential areas Dar c ndiyo pake km tutaongelea green spaces.
Kwn ni mji upi ni very dangerous to live btn Dar and Nairobi.Si wajua tu? [emoji23] [emoji23]
Zinafanana eehh[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
How is Westlands part of Nairobi cbd? You can clearly see cbd and upperhil in the background. Mbona unapenda ubishi hivi?[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1795236