Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mtaishia kupost estate tu ambazo wanamiliki watu wawili watatu au kampuni mbali na hapo hamna cha kupost[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzako aliitisha battle ya green spaces nikamwabia tuanze na golf courses akashindwa kujibu. Kwani golf course ni estate? Tuliza kende
 
Kwasababu nawapa ukweli 🤣🤣🤣 kwamba leo hii kajiadoo sio county sasa kazi ya bunge la kajiadoo ni nn na mbuge wake??🤣🤣🤣
Kajiado haina mmbunge kijana wa Tandale. Usijifanye unajua masuala ya kenya kushinda sisi wenyeji. Kajiado is headed by a governor
 
To be honest, the furthest their top estates can go are the estates in Nairobi metro outside Nairobi city such as Syokimau, Kahawa Sukari et Al.
 
Sasa unakataa kama hakuna forest ama nikuwashe sasa hvi 🤣🤣🤣🤣
Ona hii forest ya New York ilivyobomba 😂 😂

Unatamani sana Dar pafanane hivyo? sivyo?😂 😂 😂
Too bad all you got are dreamhouses everywhere, unfortunately
 
Kumbe estate kama kawaida yenu nyumba za kufananaa
Hiyo Ni Runda mzae. Nenda hata South Africa Johannesburg utagundua mfumo ni huo huo in affluent neighborhoods. Utazunguka Tanzania nzima huwezi pata mtaa kama Runda, achana mbali na ile Masaki iliyojaa apartments
 
Inamaana nairobi nzima hakuna nyumba za matajiri waliojenga kwa dream zao alaf nyinyi ndio munakuja hapa kujiringanisha na sisi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi zote nimeleta zimejengwa na watanzania
 
Haya ni baadhi ya majumba dream za watu tofaut tofaut[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] zipo salasala
achana nao hao wazee wa estate,,,,,wabaki na ushamba na ujinga wao[emoji1787][emoji1787] watembee wajionee wanadhani kuwa maisha ni estate,,,,tena hao wenyewe unaobishana nao hata hawaishi kwenye hizo estate wanaishia kushabikia tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiyo nini sasa

je we unaishi wapi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…