Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kama kuchukua Kileleshwa as representative of Nairobi. 🤣 🤣 🤣
 
Dar inawakilishwa na wabunge watano bungeni, nyie kweli hamjielewi ndio manake umaskini umekithiri tanzania..
Mji wa watu milioni saba una wilaya tano tu yani imeshindwa mpka na mombasa ambapo kw sasa ina wilaya sita
Hilo apo jimama la kukurupuka c nilisema mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahyo wewe ndio unajua sana Au vp...
Maeneo mengi yako hivi...wacha kua mjuaji tulia ujuzwe...do you expect watu million 5 wote wakaishi magomeni,manzese and the likes ambapo kulishajaa nyumba tangu kitambo?View attachment 1794890
Maeneo mengi ila sii yote. Halafu hapa pakiletwa Nairobi hata top 50 hapafiki. Hata Syokimau hapafikii.
 
Maeneo mengi ila sii yote. Halafu hapa pakiletwa Nairobi hata top 50 hapafiki. Hata Syokimau hapafikii.
Izo ndio nyumba zinajengwa hapa mjn kwa sasa...bungalow na wenye uwezo ghorofa moja nkuendelea...vitu vinachange daily nyie endeleen kukomaa na magomeni manzese mkidhani mji umedumaa
 
Hayo maeneo ukienda ground yanakaa hivi, so usije fananisha na Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…