The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Kwahiyo unavyodhani wilaya ndio inatoa mbunge, we kweli fala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar bado sana mazee[emoji1787][emoji1787]
Nairobi imegawanyika mara 17 nyie wapuuzi, yani kiufupi nairobi county ina wabunge takriban 17..
Watueee, kujeni huku muone vile kwnm umaskini dar umetapakaa..mji watu milioni 7 una wilaya tano pekee[emoji1787][emoji1787]
Ikiwa mombasa tu zipo sita
Hapo utaambiwa pamejaa maghorofa sio mchezoUnataka Nairobi pafanane hivi ndio tuwe sawa nanyi?
View attachment 1794845
Jamaa kaumia kaenda kuleta picha za google[emoji1787][emoji1787]Is it Kajiado au Nairobi? [emoji28][emoji28][emoji28]
Kajiado unaijua wewe? [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1794843
Kajiado ni hii hapa Buda [emoji28][emoji28][emoji28]
Got turkana vibes
View attachment 1794844
Watanzania Muwe macho sana, hapa unapakiwa kwenye kapu bila kujua [emoji28][emoji28][emoji28]
Nilijua utasema hivyo jimama la kukurupuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zile kelele zote kumbe dar ina maeneo bunge matano tu usione zile kelele zote[emoji1787][emoji1787]
Alafu anatokea mtu eti anakuja kuilinganisha na nairobi
Hiyo Victoria iko wapi kama si Bagamoyo road? Na kijitonyama iko wapi kama sio Bagamoyo road?Hehehehehe ushaanza kuchanganyikiwa 🤣
Ficha uinga wako, Rongai iko kajiado county, dont waste my time with obvious things.Is it Kajiado au Nairobi? 😅😅😅
Kajiado unaijua wewe? 😂😂😂
View attachment 1794843
Kajiado ni hii hapa Buda 😅😅😅
Got turkana vibes
View attachment 1794844
Watanzania Muwe macho sana, hapa unapakiwa kwenye kapu bila kujua 😅😅😅
Are they separated by several kilometers say ten or are they just in the same place? Am asking this because in that picture you posted early, I could see a few buildings that I have always known to be in KijitonyamaNdio upande wa east imepakana na mikocheni eastside, kijitonyama south- west
ZinapakanaAre they separated by several kilometers say ten or are they just in the same place? Am asking this because in that picture you posted early, I could see a few buildings that I have always known to be in Kijitonyama
Hii kweli ulaya 😅😅😅Nairobi ilikuwa hadi Ulaya ya watanzania enzi za Nyerere hadi leo wa leo mwebdo ni huo huo 😂 😂
Sasa nikikuletea utadhibitishaje kwamba mwenyewe ndio kajenga na kulingana na taste yake? Unataka nikuletee pamoja na house plan, quantity surveyor, contractor na number ya simu ya mwenye nyumba ama? Your reasoning leaves nothing to desire about you.Which one ??🤣🤣🤣
Hebu nioneshe majumba ya kifakhari yanayomilikiwa na matajiri Nairobi ambayo wamejenga wao wenyewe kwa ndoto zao alaf nikufundishe kitu
Kibera slum as always
Uchambuzi huu huwa hawaupendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imejengeka juu ya misitu au[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikiwa 696km sq ukitoa nairobi national park 200km sq unabaki na ngapi ukitoa misitu inabaki ngapi ??? [emoji1][emoji1][emoji1] akili haikai kwenye kipumulio
dar imejengeka na nikubwa mara tatu ya nairobi ulie usilie haitabadilisha [emoji28][emoji28][emoji28]
Anamaanisha eti Dar inawakilishwa na wabunge wa5 tu chizi kweli uyo, mwambie tuna majimbo mangapi kwanza hapa Dar.Huku bunge ni moja tu hakuna eneo linaitwa bunge hakuna na hutalipata mpka dunia inasmama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawapendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu tufanye hesabu rahisi tu [emoji116][emoji116][emoji16]
Dar city is 1690km sq tukumbuke dar hakuna national parks bali kuna marine reserves [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nairobi is 696km
Haya tuanze kwa pamoja 696km sq minus 117km sq nairobi national park = 579km sq
Hapo hatujatoa misitu isiohesabika ni over 150km sq
tukitoa tena tunapata 429km sq ambayo ni sawa na kinondoni district alone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1794513
View attachment 1794517
Taarifa hii imfikeAnamaanisha eti Dar inawakilishwa na wabunge wa5 tu chizi kweli uyo, mwambie tuna majimbo mangapi kwanza hapa Dar.
Dar nzima ingekuwa inafanana hivyo hiyo kelele yenu ya dreamhouses ingesikika. Unfortunately, that's not the case. More than half of Dar looks like this image below and that's why we refer to thse shanties as your dreamhouses coz these are the type of houses that majoritybof dar residents live in (the so called dreamhouses) including many of you who make noise in hereMbezi Juu-njia ya Goba iyo Masana
Hawa jamaa wakisikia dream house sijui wanaduwaa na nnView attachment 1794857View attachment 1794858View attachment 1794859