Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Our first first ladies,
Mama Maria Nyerere na Mama Fatma Karume [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 

hizo kisumu, eldort na garrisa zimekaa kimaskin sana.. sizijui vizur lkn posts za humu kuhusu hizo village vinainyesha kumekaa kimaskin.. lkn wanaahidiwa kujengewa viwanja huko[emoji23][emoji23][emoji23].. ni sawasawa huku bongo waseme wanajenga ruvuma sijui sumbawanga huko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hiv kweli garisa ni pa kujenga uwanja?[emoji23][emoji23] kwa watu gan hao.. mbona wanashindwa kuwahoji viongozi wao
Yaani ni sawa na mtu aseme anaenda kujenga Stadium kubwa la Kisasa Kondoa [emoji3][emoji3][emoji3]
Wakenya walivyo wapumbavu wakaamini ahadi za mlevi, sasa amebakisha mwaka mmoja with nothing to show [emoji3][emoji3][emoji3]
 
SGR Yenu ya Makufuli ilifika mpaka wapi😆Usiongelele ambacho huna,na Huwezi kufika Bei🤪Reli yetu inapiga Shughuli na Biashara inakua kabisa🔥🇰🇪🔥mpaka Uganda🔥🔥Tunaelekea DRC🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tazama Mambo ya Magufuli hiyo , Ni ajabu sana dunia leo watu wanaletewa na Mchina magari Moshi kwa makusudi na kuleta Air Polution, yaani mchina anawaletea gari mishi nanyi mmekaa tu kama mazuzu, na Rais wenu Mlevi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…