Station ya Jangwani inahaimshiwa Ubungo.Hizi ni ofisi sio ama? Na Gerezani ni nini?
Kwao ni nchi ikimilikiwa na wajanja wachache sana wakiwemo politicians , wafanya biashara wakubwa sana , na investors kwisha waliobakia wana ndoto ya kurent bedsitter na hela ya uji alaf wanakwambia middle class haoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Tukiwaambia wanabishaa π€
π€£π€£π€£π€£π€£ hao ndio wenye kenya sasa tunapozungumza investors ndio hao sasaMafukara
Mzungu kabana mkopo wa chuo
Nikisema mm wananichukua bora useme wewe π€£π€£π€£π€£ wengine wana nyumba za urithi ushagoooJapanese is driving Kenyas legislature like a miserable donkey
The whole parliament is sitting to exempt taxes from all Japanese investments in Kenya, what a stupid and failed state π π
Yaani bunge linavunja sheria yake ilioitunga ya kodi just for Japan, so cheap
Museveni anaweza leta ubora upi?The situation and moody by Wakunya....
Na huyu ni mmoja tu yupo nairobi nina watu zaidi ya 1000 π€£π€£π€£π€£Hii ndiyo kitu Tony 254 alisema ata expose humu km kina Yosef festo wataendelea kumtibua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hii waikua wanafananisha na uchafu fulani unaitwa kisumu π€£π€£π€£π€£ a.k.a baiskeli taxiArusha
Regional Safari Capital
Did you first know the economic value ya wao kufanya hivo kabla ya kuanza tu kupayuka???? Kitendo hicho kitaleta more good than bad sa zingine si kupost tu sababu lazima kupost tujaribu kuwa wakweli na kuongelea mambo ambayo yatatusaidiaNikisema mm wananichukua bora useme wewe π€£π€£π€£π€£ wengine wana nyumba za urithi ushagooo
Kenyatta member πππ odinga member, ruto memberOwned by otiende, rioba or wanjiku. Kwani hawa ni wakina nani huko kunyaland?
Sasa hiyo ndo unafananisha na kisuma hata njia zenyewe Hina??????Ndio hii waikua wanafananisha na uchafu fulani unaitwa kisumu π€£π€£π€£π€£ a.k.a baiskeli taxi
π€£π€£π€£π€£ alaf masharti ya bodaboda aliopewa hata apewe miaka 40 hapati hio nyumba nilivombana akaanza kuleta boda boda boda wa nakuru ππππEti boda boda ajenge nyumba Nairobi wakati mwalimu wa serikali hana uwezo huo [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1664]
Na hapa pia wanajenga na gas station nimeona kwenye project hiiIkikamilika hii Wakenya mtalia..Ubungo View attachment 1791316BRT station
Hawa waishaisha toka kipindi kileeeπ€£π€£ nchi ilishajinyea sasa walichobaki ni kuikabishi nchi kwa investors wafanye wanachotaka sasaπ π π πBaada ya kushindwa ku-improve investment conditions with superior infrastructure wanawinda makampuni ya Japan ya-invest Kenya kwa offer za kipumbavu! Sasa kama hili ni zuri kwa uchumi wa Kenya unaokopa ku-finance budget, sijui!
According to who??π€£π€£π€£ otiende amaLamu port bigger than dar
Ujenzi wa headquarters za Africa's Postal services umefikia wapi?Ndio hii waikua wanafananisha na uchafu fulani unaitwa kisumu π€£π€£π€£π€£ a.k.a baiskeli taxi
Yes with chinnese owned project for 30yrs without fear ππππ and u will be paying accordingly, is it ok??Where do we go from here. View attachment 1791459
Wanajiita kenha πππme or your roads management authority?
Acha hasira kwanza alaf uliza swali bila kupanic πMuseveni anaweza leta ubora upi?