Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ povu na uharo umewatoka mwenzako kakimbilia bodaboda wa nakuru sio tena wa nairobi
Unajifanya chizi sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwenzako anapost bodaboda wa nakuru sisi tunazungumzia nairobi which is which??🀣🀣 hata mkikasirika mukabichukia mm namwaga unga tu 🀣🀣🀣🀣
Wewe na nani?, topic ilikua yangu., mimi mleta mada asubuhi ya leo πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£, umejinyea leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwenzako anapost bodaboda wa nakuru sisi tunazungumzia nairobi which is which??🀣🀣 hata mkikasirika mukabichukia mm namwaga unga tu 🀣🀣🀣🀣
roho inapiga mpaka umesahau kuandikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utakufa bure😁😁😁😁
 
Unajifanya chizi sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umeona alivyo mjingaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., yaani ata hakujua anapinga nini yeye bora apinge tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., ama alifikiria ni continuation ya jana, where alishindwa kuleta picha? huko nilitokaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maybe alidhani ni ile ya jana., muelewe anajitia hamnazo tumsamehe tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe na nani?, topic ilikua yangu., mimi mleta mada asubuhi ya leo πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£, umejinyea leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi mwenyewe na mshangaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yeye na nani, ichoboy01 kufa peke yakoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe na nani?, topic ilikua yangu., mimi mleta mada asubuhi ya leo πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£, umejinyea leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Topi alianzisha Nicxie na sasa ww ukaja kujiripua sasa tulia uokote majivu 🀣🀣 mukajua munayofanya nairaland na hapa mutafanya hvo hvo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ tumetoka naairobi tumeenda nakuru sasa ndoto wa wakazo wa nairobi kumiliki plot na nyumba imebaki historia
 
Amekorogeka hajui tena yuabishania niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chupi imejaa maviπŸ’©πŸ’©πŸ’©
 
Mimi mwenyewe na mshangaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yeye na nani, ichoboy01 kufa peke yakoπŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 tumekatika nairobi sasa tumehamia nakuru mamaeee leo niko na nyie mpaka cheeeee na bado jumamos naamka na yombo ili tufunzane adabu
 
Mm au wewe anaehamisha mada kutoka nairobi anapeleka boda boda wa nakuru tulizana kwenye mada hata kama kiti cha moto mwenzako sasa hvi anakagua makosa yakimaandishi 😁😁😁😁😁 leo nimecheka sana kumbe na slums zinamilikiwa na serekali lahaula wala kuwata 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kazi iliobaki nikujirudia rudia tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jiulize kwanini watanzania wenzako wametoroka, ama vipi Venus Star
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ tulizana mzee wewe kagua makosa yakimaandishi tu chakuongea hunaπŸ˜†πŸ˜†
 
Mzee mada ilikua ya sacco, hio nakuru ni mfano wa jinsi sacco ilivyo saidia watu wa boda boda. Don YF huyu akili imekufaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo ilikua yenyu na yeye., yangu ya SACCOs uliodandia was independent to show wenye bright minds how things are done by low income earners in Kenya ili kujiinua kimaisha na nikaweka evidence ya how boda boda riders wameji imarisha, ilikua ina lenga majadiliano na sio mjadalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ next time chukua muda kuelewa kabla ya kukurupuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., bro leo umeniangusha na kuniaibisha sana! πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., usiwe hivyo siku nyingine..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., wivu na chuki zimekutia upofu akiliniπŸ˜‚.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…