Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waambie mfano mwema wa tandale ni nyumba ya mondi ya tandale je jumba kama lile unaweza kulipata mathare
Jumamos naende yombo nikawapanguze vinyampio vyao 🀣🀣🀣🀣🀣 tandale sasa wanaiheshimu sasa
 
Angalia sasa kaleta link hapa na mada ni dar vs nairobi ananimabia tena boda boda wa nakuru sijui kaingiaje tena 🀣🀣🀣🀣🀣
Bro kubaliana na ukweli hata kama utanichukia mm ww chukia tu i dont care madamu nakupa matokeo mkononi just take itπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

mm niliwaambia hata highclass wenu nyumba za dream kabisa hawana achilia mbali hao wa kurent bedistter mukiwaita middle class na siku utapata makazi ya high class ambayo wamejenga kwa ramani zao kwa dream zao nairobi nitag mm πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kajiharia sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Akaendelea kujilipuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kudadeq alisema hakuna kitu kama Nairobi metroπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1790633
Don YF huyu jamaa tutamuua kwa presha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unajua maana ya kukimbia nje ya mji unajua maana yake ??? 🀣🀣🀣 maana yake maisha ya kumiliki ardhi nairobi hayapo sasa munakwenda machakani kutafuta plot za bei nafuu ndio hzo munaenda anaother county za kiambu etc lakini ndoto ya kumiliki ardhi nairobi haitakuwepo mpaka dunia itasmama na maskini atabako maskini
 
Najaribu nn πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ sio mm ni mwenyeji wa nairobi kazaliwa nairobi
Unapata tabu sana, pole kama nimekukosea kwa kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, I was just posting ili kufaidi wenye akili ndefu, sikujua post yangu itakuumiza hiviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., hadi unaweka maneno kwa mdomo ya masikini mwenzakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Pole nanii, sikupenda kwangu ni hawa πŸ‘‡πŸ‘‡watu wa boda boda wali ni motivate., nisamehe kaka, umeteseka sanaπŸ™πŸ™πŸ˜‚πŸ˜‚ nilidhani utajifunza kitu kumbe ugonjwa wa wivu na chuki umekuandama hadi kwa mishipaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole kaka., tuwe tu marafiki., sio lazima ukubali ukweli kutoka Kenya, baki na slums basi., sina ubayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Hawa watuπŸ‘‡πŸ‘‡ sitafuatilia mambo yao tena, umelia sanaπŸ˜‚πŸ˜‚



 
Tanzania ardhi ni bei nafuu sana na zipo vikoba kama sido na makampuni mengi sana yanakopesha viwanja na nyumba πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
Makampuni ni megi sana yapo ya serekali yapo ya mashirika yapo ya watu binafsi
Na nje ya hapo ardhi bei haimyimi mtu maskini kumiliki ardhi na nyumba
 
Nairobi imekua metropolitan kwa ajili ya hiyo., SACCO zimechangia.., ndio sababu estates outskirts of Nairobi kama Kajiado, Machakos na Kiambu zinashinda za Dar hands down, ama pia unataka evidenceπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., jitafutie
 
Tunaongelea nakuru tunaongelea nairobi 🀣🀣🀣🀣 hvi ww unajua hii mada ilianzia wapi Nicxie njoo umsaidie mwenzako kwanza ajue mada ilpoanzia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… 70% kuishi kwenye slums nairobi ni halali bro niamini mm kumbe na slums ni za serekali
 
Sasa ona wewe kilaza kweli! Those are real estate companies, ni biashara za kujenga na kuuza na pia kuuzia watu plots, hata Burundi, Malawi, akina south Sudan wanazo hizo, hizi umepost sio scheme ya kusaidia mtu wa chini kujiinuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., hizi ni biashara za kawaida tu.., kumbe haujui SACCO., pole sasa nimekuelewa, ungeuliza tu ufafanuliweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Nairobi imekua metropolitan kwa ajili ya hiyo., SACCO zimechangia.., ndio sababu estates outskirts of Nairobi kama Kajiado, Machakos na Kiambu zinashinda za Dar hands down, ama pia unataka evidenceπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., jitafutie
Tunaongelea nairobi city hatuongelei kaambucounty usichanganye chai na uji 🀣🀣🀣🀣🀣 rudi kwenye mada kwanza mm nataka uwelewe mada na ujibu
 
Choma ndani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡







 
Wewe ndo uko nje ya mada - leta picha za majority estates dar kwan ngumu vipiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ staki story leta picha tuendelee😊😁😁
Tunaongelea nairobi city hatuongelei kaambucounty usichanganye chai na uji 🀣🀣🀣🀣🀣 rudi kwenye mada kwanza mm nataka uwelewe mada na ujibu View attachment 1790707View attachment 1790708
 
Mimi ndio mleta mada asubuhi ya Leo, a new thing watu wajifunze kitu na kujadiliana, wewe na wivu na kinyongo ukarukia kujaribu kuponda na ku derail coz ya chuki.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sasa ona ulivyo jichanganya, sikukua naleta mjadala but majadiliano, wewe na kiherehere yako umejiaibisha humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Wewe ndo uko nje ya mada - leta picha za majority estates dar kwan ngumu vipiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ staki story leta picha tuendelee😊😁😁
Alishindwa, hiyo chapter fungaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Choma ndani πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ hii taasisi ya serekali πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ


 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ povu na uharo umewatoka mwenzako kakimbilia bodaboda wa nakuru sio tena wa nairobi
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mwenzako anapost bodaboda wa nakuru sisi tunazungumzia nairobi which is which??🀣🀣 hata mkikasirika mukabichukia mm namwaga unga tu 🀣🀣🀣🀣
 
Kumbe haukuelewa what I posted, ulidandia kwa msukumo wa wivu na chuki ulio kujaa kuhusu Kenya!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., kumbe ungefyata tuπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…