Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona munaongelea nairobi ile ya kitambo why not concetrate on the better side nairobi upperhill ndo tukue mbichi na mbivu ndo hii clip nimechukua from my office balcony na inakaa more nairobi like











 
Et
Utapata unplanned settlements with full of modern house and and socialservices barabara za lami na kila kitu lakini slum utasubiri dunia iumbwe tena 🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hizi ni slums πŸ’―
 
60% ya wa Kenya!!! Yaani mko desperate hivi hadi mnalazimisha fikra zenyuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., bro jikubalini., facts zimewaumbua, mji mkuu ni picha ya ufukara Tanzania., backward people..,
 
Naona umechange gear angani πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama wakenya hawana pesa hizo estates zisingejaa kila kona ya nchi😎😎
Wanashangaa shangaa kulikoni 254!., Walidhani sisi ni size yao kumbe bado wako team akina Malawi, level za BurundiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ni povu naona humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sioni jibu kutoka south ni Kiswahili focus iko Kenya, hakuna Cha kuleta kutoka south, maybe warudi tu kwa mapicha za pale CBD yao tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watanzania wakizubaa na nairobi na dar wanasahau kenya unatumia ugatuzi sasa, hela inagawanywa kwa kila mji relatively, pesa haibaki nairobi sasa. ndo maanake hadi dessert areas za kenya sasa zimeanza kuinuka. sasa hatushuglikii miji kadhaa tu bali miji yote miaka Kumi ijayo kila town itakua kubwa ya kujisimamia si lazima Nairobi ndo maana picha kama hizi za development hadi kwa jangwa mtazidi kuziona sana. sasa hivi I cant engage in watu wanaonyeshana eti mvua imemwaga uchafu kwa street, its below me na haiongezi maarifa







 
Middle class ya Dar, Kuna nyingine tena?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , next time usiogope kuweka hizi picha za mido class., be proud of your cityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…