Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiswahili tupu, empty rhetoricsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, wapi za Dar?., hamna chochote nyie, kama ziko leta humu Kiswahili mingi ya nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Dawa imeingia sasa 🀣🀣🀣🀣 hamupendi lugha ya kiswahili
 
Nyingi bila mwana.

Nimedokezwa "Bajeti ya Wizara ya Ujenzi imepunguzwa kwa 20%", ukijumlisha na ufisadi utakaoanza kwenye miradi, sijui kama hata 20% ya Magufuli atafika. Yaani tumerudi kulee kwa Kikwete.

Leta facts tupe budget ya 2020/2021 na 2021/2022 tuamini!

kuna ukweli budget imepunguzwa hasa sehem ya uchukuzi


hii ni budget ya mwaka ujao(2021/2022)
total = 3.747 trillions
ujenzi = 1.627 trillions
uchukuzi = 2.12 trillions

budget ya mwaka jana ilikuwa hiv
total = 4.768 trillions
ujenzi = 1.616 trillions
uchukuzi = 3.152 trillions

tofauti: budget ya mwaka ujao umepunguzwa kwa almost 1.021 trillions (21%) pungufu ya mwaka jana



summary ya budget ya mwaka huu hii hapa
 
Mm nazoom umepost picha ya morogoro road ngoja tuzoom tuone kwann mZungu hakuona slum πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ tafuta sehemu yoyote dar unitajie mm nitafanya zoom bure kabisa na nitakwenda eneo hilo nichukue ground view kama vile tandale ilivowatoa uharoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜
 
Hizi vitu unasema hapa zinapatikana kila sehemu hata huku Kenya. Usifanye nianze kukupigia picha vijijini kwetu nizitume hapa. Hapa tunaongea maisha ya watu wa Dar na Nairobi. Unataka kuniambia Mtu anayemiliki nyumba hapa ako na uwezo wa kujengwa nyumba kijijini kama hiyo uliyopost.

Si angejengatu nyumba kama hiyo uliyopst hapa badala ya huu ushuzi
 
Dawa imeingia sasa 🀣🀣🀣🀣 hamupendi lugha ya kiswahili
Yaani ni vile unakosa jibu mwafaka to level against what is given, unabaki ukipayuka tu empty rhetoricsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Hasira hazikupendezi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ na sijui kwann umekasirika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ thank u, hii ndio average middle na lower middle za Dar to level na eastlandsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚




 
Ngoja tuzooom tuone hzo nyumba zikoje tuanze na magomeni kagera πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ mzungu hawezi kua mjinga mpaka dunia itasmamaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ukipata sehemu nyingine niambie nikusaidie kwann mzungu hakukosea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hasira hazikupendezi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ na sijui kwann umekasirika
Umeona nimekasirika ama unalazimisha fikra zakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ndio nakwambia uko na Kiswahili tupuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., chochote unachofikiria kwa akili yako ndio basi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., pole bro.,πŸ˜‚
 
Ubaya ni kwamba unakana hadi vitu zinaonekana tu kwa macho. Eti Masaki apartments ni chache sana? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hizi nyumba za ghorofa naona hapo kila mahali zinaitwaje?
 
Ubaya ni kwamba unakana hadi vitu zinaonekana tu kwa macho. Eti Masaki apartments ni chache sana? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hizi nyumba za ghorofa naona hapo kila mahali zinaitwaje?
Nakuuliza swali unijibu who own those estate na usiponijibu nitakusaidia pia 🀣🀣🀣 kwasababu huwezi nidanganya wewe nakwambia tena masaki 95% ni nyumba za watu binafasi na appartments ni chache mostly kwa ajili ya wageni sasa unabishana na mm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hzi ni estate 95% wame rent so niambia who own those estate ?? Au nikusaidie 🀣🀣🀣 na je ukiweza ku rent unakua middle class au nyinyi middle class munawachukuliaje
Do u know people buy those houses, yaani ukiona estate unadhanibwatu wamekodishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ata apartment watu wananunua na kuishi, especially eastlands most no personal houses in a well organized gated communities., Prove me wrong hapa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Dar is slum/village..,
 
Umeona nimekasirika ama unalazimisha fikra zakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ndio nakwambia uko na Kiswahili tupuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., chochote unachofikiria kwa akili yako ndio basi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., pole bro.,πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 niambie mm who own estate in eastland au nikusaidie sasa hvi manake sichelewi kukusaidia mtu kama wewe
 
Dar es salaam middle na lower middle class residential kwa uzuri wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Next pictures am here...,
Nakwambia maskini wa dar ana nafuu mara mia kulik Mtu anaiishi hapa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kibera alone imebeba watu million 2 na laki tano bado tubishane nn 🀣🀣🀣
 
Hzi ni estate 95% wame rent so niambia who own those estate ?? Au nikusaidie 🀣🀣🀣 na je ukiweza ku rent unakua middle class au nyinyi middle class munawachukuliaje
Mtanganyika, huwezikuwa na ubishi asubuhi hadi usiku. It doesn't change any facts. Hizo nyumba unaita ni za mainvestors nyingi sana zinajengwa kwa ajili ya wanunuzi, na wanaozinunua na kuzimiliki ni wakenya. Unakumbuka nikikuambia wakenya wako na purchasing power? That's what I meant.

Kuna baadhi ya projects za nyuma ambazo zinajengwa specifically kwa ajili ya kuuza wala sio kurent. At the end of the day, wakenya wengi end up owning decent houses than hizo ushuzi zenu mlizojaza hapo Dar that you proudly call dreamhouses. Najua gated communities nyingi sana ambazo zinajengwa kwa minajili tu ya kuuza. I can mention so many of them here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…