Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

najaribu kuangalia vita za israel na hamas.. naona uharibifu mkubwa sana wa miundombinu na majengo.. mamillions ya dollars yanapotea kupitia hizo rockets wanazorushiana.. wakat sis tunazihitaj hizo million/billion dollars kwa maendeleo
 
najaribu kuangalia vita za israel na hamas.. naona uharibifu mkubwa sana.. mabillions ya dollars yanapotea kupitia hizo rockets wanazorushiana.. wakat sis tunazihitaj hizo billion dollars kwa maendeleo
Wacha mwarabu apigwe.
 
Hehehehee Tz kwa usafi tu haina mpinzani EA[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_1621118176824.jpg
 
Screenshot_20210515-080602_1.jpg
Screenshot_20210515-080637_1.jpg

Kwa mbaali picha hii☝️ inaonesha our upcoming CBD
Screenshot_20210515-080544_1.jpg
Screenshot_20210515-080908_1.jpg
Screenshot_20210515-083007_1.jpg
oy tanzanians hili jengo ☝️refu zaidi linaloonekana kwenye picha hiyo hapo juu linaitwaje.? NB, Hakuna CBD yeyote ya Nairobi ambayo iko full mkoko (magorofa marefu tu) kuizidi hii Kariakoo. Hizi ni picha za KK kwa ukaribu kabisa
 
🤣🤣🤣🤣🤣 wanalizana huku







Ina maana Kenyans are sharp, vya bure hawataki, ingekua Tz mngepiga makofi na kushangilia, 😂😂😂😂😂., ichoboy01 ungefungua uzi walai kushabikia ujinga😂😂😂😂😂😂
 
Hehehehee Tz kwa usafi tu haina mpinzani EA[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1786490
Mombasa..,
Screenshot_20210210-213942.png

Screenshot_20210218-201535.png


Kisumu city
FB_IMG_16207252318287639.jpg

FB_IMG_16207252937618925.jpg

FB_IMG_16207254438811131.jpg


Note: usafi ama uchafu ni vitu very temporary, Leo sehemu inaeza kua safi baada ya nusu saa pakachafuliwa, then baada ya masaa ama siku ikafagiliwa, no substantial argument here..,😂😂😂
 
View attachment 1786559View attachment 1786560View attachment 1786562View attachment 1786572View attachment 1786573View attachment 1786574View attachment 1786575View attachment 1786576View attachment 1786582
Sio mpige kelele tu humu, tunatoa mtuonyeshe CBD iliyoshiba magorofa kama hii, sio mtuonyeshe vijengo vitatu kweny mapori alaf muite CBD . Nairobi haiwezi kuishi dar ikija suala la mgorofa. Na ndio maana The best 007 anawaeleza kwamba kuhusu utajir wa majengo dar is above all cities in EA

View attachment 1786561
😂😂😂😂😂😂"my mother cooks the best food in the whole world" kinda reasoning 😂😂😂😂😂.,.,
 
caf wanataka kuifanya rwanda kuwa football hub?

..after taking over basketball 🏀., Sahi they will host all basketball games sijui ni qualifiers ama..,that had been scheduled to be played in different countries! Sasa zote zitachezwa Rwanda, saw an advert kwa DSTV..,
 
Back
Top Bottom