Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar inafaa kulinganisha na Mombasa,TZ Ni upupu mtupu,Imagine na Ni Biggest City in TZ🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ata Nashuku Mombasa iko mbele🇰🇪🔥🔥
 
Dar inafaa kulinganisha na Mombasa,TZ Ni upupu mtupu,Imagine na Ni Biggest City in TZ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ata Nashuku Mombasa iko mbele[emoji1139][emoji91][emoji91]
Dar is the biggest city in East Africa.
 
Dar inafaa kulinganisha na Mombasa,TZ Ni upupu mtupu,Imagine na Ni Biggest City in TZ🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ata Nashuku Mombasa iko mbele🇰🇪🔥🔥
Ila we mjomba unavyoongea havieleweki unakwama wapi 😂😂😂, akili zimo kichwani.? Umekula kwanza.? 😂😂
 
ichoboy01 njoo hapa haraka! Fafanua hili dharau!😲😟., Mbona kaburi la mzee linawachwa kienyeji hivi😕😟😟.,




 
Naona unazunguka mahali pamoja tu, kulikoni tena 🤣 🤣 🤣 🤣
🤣😅😂😂 Developed area is less than 10% of the whole sq km! Unataka afanye nini sasa? ., zaidi ya hizi sehemu chache different angles hakuna anything to show, kwingine akijaribu ni aibu tupu 90%.,😂🤣😅😅😂.,


Wajenge mji mwingine upya, Dar ili chemsha😅🤣😂, haikomboleki, pengine wafukuze watu.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…