Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We mpumbavu kweli huoni hiyo ni tweet ya 2017? Research ya 2014 🤣🤣🤣
 
We mpumbavu kweli huoni hiyo ni tweet ya 2017? Research ya 2014 🤣🤣🤣
Ewe mwerevu leta evidence kwamba ni ya 2017. And why do you want to to research ya 2014 wakati taarifa niliyoleta ni ya 2020? Are you listening to yourself or are you just plain stupid?
 
Ewe mwerevu leta evidence kwamba ni ya 2017. And why do you want to to research ya 2014 wakati taarifa niliyoleta ni ya 2020? Are you listening to yourself or are you just plain stupid?
Hiyo tweet ni ya 2014, kichaa
 
Unapuyanga sana we jamaa
Kwa hivyo wewe pia unamaintain hiyo ni taarifa ya 2014? Aya basi saidia mwenzako kudhibitisha madai yake kwamba hiyo tweet World Bank waliitoa 2014 na sio 2020
 
Hiyo tweet ni ya 2014, kichaa
Just prove your point, it's that simple. Mimi nimekuletea hadi taarifa kutoka kwa link ya tweet yenyewe na kila MTU akaona ni taarifa ya mwaka Jana 2020
 
Kwahiyo Ubungo interchange cku hz ipo CBD, jamani Wakenya mbn mnaiogopa sn Ubungo interchange [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…