Hizi ndo zile apartment zilijengwa kwa ajili ya watu wa slums..but wanapewa bwanyenyes?Some of these places you call slums you cannot even afford to live in. Look at Uthiru 'slum' below then compare with your dreamhouses zlizoliwa na mchwa
View attachment 1781423View attachment 1781424View attachment 1781425View attachment 1781426View attachment 1781427View attachment 1781430
Hilo jengo la TPA halingekuwa hapo that's what they could have saidWatakwambia hyo ilikua 90s[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kwa vile asili yake muarabu sio mkenya?Balala sio mbajuni jomba, hyo ni muarabu lkn sisi hku hatukulala km nyie we bwege..
Balala angelikua hko basi sai si ajabu angelikua na viwanda kadhaa
Hivyo ndivyo umeamishwa na sisiemu? π πHizi ndo zile apartment zilijengwa kwa ajili ya watu wa slums..but wanapewa bwanyenyes?
Waongeze na hii ya NgaraRuaraka Nairobi, more beautiful than any part of Tanzania
View attachment 1781383
Christmas's tree...hv hamnanga designers wa rangi huko kwenyu?
Kwanza pakeni hizi zenu rangi, angalau hata paa za nyumba tu kisha mpange jiji lenu ndio uje utoe povuChristmas's tree...hv hamnanga designers wa rangi huko kwenyu?
Uku hubanana lower middle class
Those are affordable houses, a project by the national government. Kama hapo watu hubana hapa tutasemaje?Uku hubanana lower middle class
WameshonanaThose are affordable houses, a project by the national government. Kama hapo watu hubana hapa tutasemaje?View attachment 1781446
Then keep your cool. Afadhali hao wa Ngara wamebana kwa nyuma za maana na mazingira ni afadhali. Not comparable na wa huko kwingine ambako watu wameshonana as you putWameshonana
We bwege unavyojua wewe ni kunyaland tu ndio wanatrain na hizo nchi sio πAnother special force. ATPU, Highly trained. Trains with Scotland yard in England and Mosad in Israel. Since Alshabaab heinous acts Kenya went back to the drawing board and it is doing fine in counter Terrorism.
View attachment 1781375
Hii wapi bro?nasikia mtaani kwangu mikumi na kwenyewe washavunja vunja barabara tayari kwa brt phase 2
Hehe SawaThen keep your cool. Afadhali hao wa Ngara wamebana kwa nyuma za maana na mazingira ni afadhali. Not comparable na wa huko kwingine ambako watu wameshonana as you put
πππ Ila hawa jamaa nimewavulia kofia, yani mtu anadanganya mpaka picha, eti yupo thika dah kumbe picha kaiiba mtandaoni alaf anadai eti ni yeye ..ππ sijawahi kuona mtu fake kiasi hiki πππππππuko thika sio? this is too low for you. usimuige bwana mapesa.. View attachment 1781422
Sisi tumechoka majibizano haya kula siku we mwehu, sio tukinyamaza unajipa moyo labda itakua hatuna nyumba za hivyo. Zipo mingi tu, n in case you don't know,shirika letu la nyumba la Taifa ni shirika bora Africa Mashariki na kati.. hiyo miradi yote hapo chini imefanywa na shirika la nyumba la Taifa NHCMore of the affordable housing project in Ngara. Complete and up for grabs
View attachment 1781449View attachment 1781451View attachment 1781452
Sasa hilo povu lote ni la nini? Juzi mkizipost hapa ulisikia nani akipiga kelele? Swala la makaazi mnafaa kukaa kimya ni vile tu sio kila kiwe ni ushindani. Hapo tumeaacha mbali. Cha kushangaza ki kwamba ni nyumba hizo hizo mmoja wenu alishanda akizipost humu tena wewe leo umekuja na hizo hizo!Sisi tumechoka majibizano haya kula siku we mwehu, sio tukinyamaza unajipa moyo labda itakua hatuna nyumba za hivyo. Zipo mingi tu, n in case you don't know,shirika letu la nyumba la Taifa ni shirika bora Africa Mashariki na kati.. hiyo miradi yote hapo chini imefanywa na shirika la nyumba la Taifa NHCView attachment 1781457View attachment 1781458View attachment 1781459View attachment 1781460View attachment 1781461View attachment 1781462View attachment 1781463View attachment 1781464View attachment 1781465
Mmetuacha mbali kwenye nini mzee.? Miradi ya nyumba ya serikali au. .?Sasa hilo povu lote ni la nini? Juzi mkizipost hapa ulisikia nani akipiga kelele? Swala la makaazi mnafaa kukaa kimya ni vile tu sio kila kiwe ni ushindani. Hapo tumeaacha mbali