Kweli Ila tunauwezo wa kufika level Yao sema picha nyingi zulibaki kwenye camera jamaa Kwanza usafiri wao uko vizuri BRT na train zinaongozana ukishuka kwenye train brt inakusubiri aafu time kwao serious Sana🙂
Naona wameanza itindua upya..but wanajenga vzuri Ni lami ya ubora wa hali ya juu..unapita kama unatemvea juu ya marbles au tiles...aisee hii barabara itaweka rekodi ya kuchukua muda mrefu!
Acha wapokot, mpka waturkana wanaoaSasa mbona hapo kwenyu hakuna mpokoti ambaye anaoa mkikuyu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaani baada ya kuijenga?Naona wameanza itindua upya..but wanajenga vzuri Ni lami ya ubora wa hali ya juu..unapita kama unatemvea juu ya marbles au tiles...
Labda mdomoni, lkn km nyie vidume tingeni somaliaUnauhakika hatuna yaani mambo ya kijeshi hamna cha kufundisha Tanzania
Watakwambia hyo ilikua 90s[emoji23][emoji23]Acha tu nikunyamazie sasa. Tumia hata hii hapa kama umekosa
View attachment 1780632
Ile aliyoenga Mzee kwa Ela za siku ya uhuru wanaitoa..maana ilikua na mashimo na mabonde...now wanaweka carpet jipya ma kuipanua...nasikia pia itakua na Brt lanes zile zinazokuja hadi Mwenge na Tegeta.yaani baada ya kuijenga?
Wakafanye nini huko!? Kwani Waturkana ni terrorists!?Wazee wa kapicha picha..mbona hamuwapeleki Turkana kama wapo highly trained?
Subutu🙄🙄Wazee wa kapicha picha..mbona hamuwapeleki Turkana kama wapo highly trained?
Usishtuke jomba, cbd fmdar kumejaa vibanda[emoji23][emoji23]Haiya,you mean kuna vibanda at the heart of Dar cbd[emoji849][emoji849][emoji849][emoji15][emoji23]
Nko Thika superhighway kwa jam,kunani??mvua nayo Ni balaa
View attachment 1781292
Hao nasikia wanashabaha hatari...watoto wanakabidhiwa AK-47 kama toys za kuchezea
Hii nayo marekani walijenga lini[emoji23][emoji23]Takataka the Amercans build it early 1900s...by the time land were cheaper than the bridge cost wise...leo unasema sisi tujifunze jinga kabisa nyie.....watu wako huku[emoji116][emoji116][emoji116] acha kuturudisha 1900s kwa ujinga wenu View attachment 1780721
🇹COSAFA VS CECAFA
View attachment 1781237
Some of these places you call slums you cannot even afford to live in. Look at Uthiru 'slum' below then compare with your dreamhouses zlizoliwa na mchwaNa ule mji uliozukwa na slums plan ikwapi 🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1781250
🤣🤣🤣🤣🤣Wakunya bwanauko thika sio? this is too low for you. usimuige bwana mapesa.. View attachment 1781422
Unajifanya hujui moto wao eeh...Turkana Ni nchi inayojitawala ndani ya KenyaWakafanye nini huko!? Kwani Waturkana ni terrorists!?
Balala sio mbajuni jomba, hyo ni muarabu lkn sisi hku hatukulala km nyie we bwege..Tony Kwa hiyo na huyu hapa sio mkenya[emoji849][emoji849]wabajuni na sijui wagunya Sana Sana watu wa lamu nao sio wakenya? View attachment 1780722
Jamaa wameshazoea maisha magumu anytime wanafanya mashambulizi there way of lifeHao nasikia wanashabaha hatari...watoto wanakabidhiwa AK-47 kama toys za kuchezea