Hehe hizo Ni 12,,kwani service lanes si njia za gari,,ama ni za kupitia mguu😂eti njia za kuingia na kutokea😂😂we hujielewi,, service lanes huenda sako kwa bako na highway from start to end so they should be includedView attachment 1781002
Hesabu na njia za kutokea na kuingia uite lanes uchekwe sasa🤣🤣🤣🤣
Matatu italipa,,kwani pesa kwako ni shinda na husemi usaidiwe hapa jf,😂😂Walisema kutakuwa na Barabara za Brt kwenye express way tusubir tuone finishing yake🤣🤣🤣🤣
Because when fuel price rises, everything else follows.Mbona petroli ikipanda kidogo wanafungua kende zao kwanini???😃😃😃😃 do u think mchina mjinga kama nyinyi maboga
Subiri kaka,,ata ya Thika superhighway mlisema haitajengwa,,jionee BRT station ikijengwa sasa😜😜😍😍😂😂Walisema kutakuwa na Barabara za Brt kwenye express way tusubir tuone finishing yake🤣🤣🤣🤣
Haya kila la kheir majirani🤣🤣🤣🤣🤣🤣We hujielewi,,kwani mchina analazimisha mtu kupita kwa expressway 😂😂Kama huna ya kulipa unapitia tu barabara ya kawaida tu😁hii Kenya tunajua kujipanga kweli #uhurunakazi
Tanzanians fear kenyans very much, how are we connected to this
Pangani mpaka ngara BRT itapita wapi?🙄Subiri kaka,,ata ya Thika superhighway mlisema haitajengwa,,jionee BRT station ikijengwa sasa😜😜😍😍😂😂
View attachment 1781056
View attachment 1781057
View attachment 1781058
Safi sana, wabongo lazima wajifunze.Subiri kaka,,ata ya Thika superhighway mlisema haitajengwa,,jionee BRT station ikijengwa sasa😜😜😍😍😂😂
View attachment 1781056
View attachment 1781057
View attachment 1781058
Huyu anatafuta hoja za kijinga mpotezeeWhere do you detect fear in my post?
You must be very stupid.
Hiyo ya kunyaland kama ofisi ya dawasa ya kata tena maana hata ya wilaya ina hadhi nzuristandard of quality in Kenya and Tanzania can be demonstrated by quality of their bureau of standards building
low quality standard
View attachment 1780469
high quality standard
View attachment 1780470View attachment 1780471
Hio 8 lanes njia ya kuingia nakutoka hua haziwehesabiwi kwenye lanes punguza upupu kichwani🤣🤣Hehe hizo Ni 12,,kwani service lanes si njia za gari,,ama ni za kupitia mguu😂eti njia za kuingia na kutokea😂😂we hujielewi,, service lanes huenda sako kwa bako na highway from start to end so they should be included
Alaf vipi kuhusu nauli haitapanda je??🤣🤣Matatu italipa,,kwani pesa kwako ni shinda na husemi usaidiwe hapa jf,😂😂
Hivi hapo kati ni reserve ya brt?Mambo yapo mwishoni kabisa
View attachment 1780322View attachment 1780323View attachment 1780324View attachment 1780325
Je uko na ushahidi kwamba wakenya wamesabotage shughli zenu?? Kama jibu lako ni la jua basi wewe ni fear monger.Where do you detect fear in my post?
You must be very stupid.
🤣🤣🤣🤣🤣 mchina kawanyea tena kichwani kwa mara ya pili bado lamu port sasa hio ndio itakua balaaWalisema kutakuwa na Barabara za Brt kwenye express way tusubir tuone finishing yake🤣🤣🤣🤣
Yaani wewe huaga unaarisha maneno🤣🤣🤣🤣Safi sana, wabongo lazima wajifunze.
So unafkiri ukiweka toll unalipa nn mawe au?? Au unafkiri bei yake itakua kama ya kununua githeri 😄😄😄 au unafkiri mchina hana akiliBecause when fuel price rises, everything else follows.
Kwani ile toll yenu mwapita bure.Alaf vipi kuhusu nauli haitapanda je??🤣🤣
Kupita mutalazmishwa na kulipa mutalipa na maumivu mutayaskia manake lazma serekali itengeze mazingira magumu sana huko kwengine ili mutumie kwa lazima na mchina atengeze pesa 🤣🤣🤣 hata SGR simulilazmishwa kutua au umesahauWe hujielewi,,kwani mchina analazimisha mtu kupita kwa expressway 😂😂Kama huna ya kulipa unapitia tu barabara ya kawaida tu😁hii Kenya tunajua kujipanga kweli #uhurunakazi
Sisi pesa inakwenda kwa serekali nyinyi je?? Itakwend kwa nani ??? 🤣🤣🤣 Hamuna akili yakumshinda mchina nyinyi wakat nchi imefika kwenye red line kwenye debt crisisKwani ile toll yenu mwapita bure.