Ndo hapo ss, markets zmejengwa lkn hazitumiki mana ake nn ss, machinga complex pekee ingeweza ku accommodate hawkers wote wa pale karume na hawa wa mtaa wa kongo na bado isijae lkn tunaendekeza upuuzi wa kuvumilia ujinga tu, leo asubuhi wkt nipo kkoo nkawa najiuliza huu upumbavu utaisha lini huu wa pedestrian kupishana na magari? Bahati nzuri mchana likapita tangazo lile lile nililolisubiri.
Nawapenda hawkers lkn hili la kujenga vibanda barabarani hapanaaa.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Hii kitu ya hawa "wafanyabiashara wadogowadogo" inahitaji some serious economic planning. Bahati mbaya bro Magu hakuwa muumini mzuri wa planning. Alikuwa tu genius kivyake akijaribu kusafisha kwanza nyumba. Hivyo yeye aliamua tu kujikita na kutengeneza enabling environment halafi kila mmoja atajijua anakula wapi! That wasn't good but wasn't very bad either.
Hawa awamu ya 4 version 2.0 ni waumini wa planning ila the bad thing ni kwamba hawana utashi wa kufanya planning. Hii siyo tu mbaya bali mbaya sana.
Ubaya ni kuwa baada ya kuwatoa hao machinga barabarani, serikali haina mahali sahihi pa kuwaweka! (Hakuna kitu kama machinga complex au market kinaweza fanya kazi).
Given udhaifu wa serikali na rushwa hili suala litaishia kuleta violence. Rejaea ilivyokuwa awamu ya 4 version 1.0.
Approach ya Magu haikuwa the best ioa with time uchumi ungefunguka na ingekuwa rahisi kupata production activities za kuwafyonza hawa watu taratibu. Japo ingechukua muda mrefu ila tatizo lingeisha naturally kama lilivyoanza hasa ikizingatiwa kuwa tatizo la ajira na uchache wa fursa (zilizofunguliwa) ndivyo vyanzo vikuu vya tatizo hili.
Nini sasa namna sahihi ya kutatua tatizo hili?
Simple:
Biashara/shughuli zote za uzalishaji zirasimishwe na zisajiliwe kwa official licence.
Mfumu huu uwe controlled. Kwa mfano, kama stendi ya Magufuli inahitaji machinga 200 kwa migawanyo tofauti tofauti (vocha, matunda, vifungashio, nk) basi leseni zitolewe hizo 200 tu mpaka itakapopangwa vinginevyo.
Biashara yafaa kuwa huria lakini idhibitiwe.
Kusajili kila biashara haimaanishi zote lazima zilipe kodi ya mapato. Unaweza kumpa machinga leseni na mashine ya kodi ya kielektroniki lakini ukampa pia msamaha wa kodi ikiwa ni inafaa.
Hapo si tu utakuwa umetatua tatizo la biashara holela bali pia utakuwa umetatua matatizo ya VAT kwani miamala yote itakuwa electronic hivyo kuweka takwimu sawa.
Serikali ije na mipango thabiti ya kuzifungua sekta zinazoajiri watu wengi; kilimo, viwanda vya nguo, viwanda vidogovidogo, utalii, sanaa na michezo, nk.
Vinginevyo kuwaondoa barabarani bila kuwapeleka mahali sahihi kutaishia tu kuleta unrests zisizoisha.
Sent using
Jamii Forums mobile app