Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nafurahi jinsi mnashtukishwa na miradi kama hizi. Huku tumeziona tukachoka jamani
Miradi kama hii sikuhizi Kenya unaipata kwa mini midogo midogo kama Thika, Eldoret, Athi River n.k. Mombasa na Nairobi zilijengwa tukazizoea.
 
Nyumba mnazojijengea Dar tunazijua ndugu. Hakuna kitu kizuri hapa, ukweli usemwe tu japo ni sumuView attachment 1776880
kila nyumba unayoina dar iwe ni nzuri ama mbaya inadepend na uwezo💰💵wa mjenzi, usitake tuanze kurudia haya mambo kila siku inachosha bro, zimewekwa tayari nyumba kibao tu humu nzuri 🤦🏿‍♂️
 
kila nyumba unayoina dar iwe ni nzuri ama mbaya inadepend na uwezo💰💵wa mjenzi, usitake tuanze kurudia haya mambo kila siku inachosha bro, zimewekwa tayari nyumba kibao tu humu nzuri 🤦🏿‍♂️
Sikatai maneno yako. Ujenzi wa nyumba inategemea na uwezo wa mtu. Kuna wenye wako na uwezo zaidi kuliko wengine. Lakini ukiangalia picha nyingi za juu (aerials) za mitaa za Dar, ni dhahiri kwamba wengi bado hawana huo uwezo wa kujijengea nyumba nzuri. Sema tu bora mtu awe na nyumba Dar ila quality ni ya chini na pia hakuna mpangilio wa ujenzi
 
Miradi kama hii sikuhizi Kenya unaipata kwa mini midogo midogo kama Thika, Eldoret, Athi River n.k. Mombasa na Nairobi zilijengwa tukazizoea.
Nashangaa vile hawa watu wanizishabikia. Hata Kisumu ziko nyingi sana. Even smaller towns like Kisii and Embu are embracing the trend. Wenzetu wako nyuma lakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…