Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


We kichaa Yosef Festo heb taja bidhaa ya kiwandani ya chakula inayoijulikana EA ambayo ni kenyan made πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. We jamaa ni zuzu sana .. hakuna hata bidhaa yenu moja inayoijulikana kulinganisha na bidhaa za viwandani bongo, ni vichekesho na kujiwehusha
 
Ila wew jamaa wewe dah .. unanichekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa bidhaa za kenya popular ziko wapi mbona hata hazijulikani, soko la EA nowadays lote limetamalaki bidhaa zetu.. yani tuna brand kubwa kichele ambazo bidhaa zake ndio bidhaa popular Africa na ndio zinatumiwa sana we ar no longer exporting raw materials, kama ni mahindi,vitunguu sijui hivyo ni vyakula ambavyo nyinyi mnatununuza ili mule not otherwise πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa viwanda vya uzalishaji nowdays hamtuwezi, mkibisha tunakuja kwenye battle la viwanda tuone Kati ya sisi na nyinyi nani anauza raw materials kudadeki .. twende kazi, bidhaa uone leo tunavyowaaibisha
 

Saaafi uhuru. Muage mgeni.
Ila nilichogundua, kila rais tunayekuwa naye, makundi makubwa ya wakenya wanampenda. Mfano Magufuli, alipoingia tu madarakani, watu wakaandamana wakisema wanataka rais kama Magufuli nchini kenya. Pia JPM alipikufa, watu kotekote Kenya wakahuzunika sana, mpaka kuna mama mmoja toka Kenya, alienda Tanzania kwenye maombolezo.
Sasa kwa mama Samia, mahaba ndiyo yameongezeka balaa. Hata wanawake ambao aghalabu hawapendani, nao wamekuwa na hisia za kufurahia na kumpenda.
Inafurahisa sana na kupendeza.
 
Oya wa tz huyu mjomba Yosef Festo kadai eti tunawauzia raw materials wao wanazalisha finished goods then wanauza mbele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa leo hii ni kuwaonyesha kwamba hata kwenye viwanda (vya kuzalisha chakula na vinywaji) tulishawapita mbali sana. Bidhaa za shambani zinazoenda kwao ni extra huku kwetu, zimetosha kula na pia zimetosheleza viwanda vyetu, so ziada ndio tunawapelekea
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Lia hadi basi., Mombasa sio Dar , ukipata nyumba ya tope in that area hapo nafunga account., Dar is slum in EACπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., vumilia na usonge mbele, Kiswahili punguza, wacha picha ijiongelee.,
🀣🀣🀣🀣🀣 funga acc sasa unasubiri nn
Yani mzungu afunge sattelite zaidi ya 1000 hewani asione slum dar aje aone nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ushuzi juu ushuzi unashangaa nyumba za tope mombasa hahahahahahahha picha hii hapa inajiongelesha hya lia sasa
 
Roho mbaya duniani ilizaliwa kenya hilo liko wazi 🀣🀣🀣🀣
 
Umeona tayariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., mwenzako kaudhika anataka ukojoe ulaleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ichoboy01 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akojoe alale kwanza 🀣🀣🀣 akiamka aje tuongee
 
Mbona mulizuia mazao boarder sasa na sasa mbona mumeyarushusu kama hatuwalishi nyinyi mafala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Huyo ni kilaza wa aina yake kenya nzima hana tofaut na huyu dada komora096 🀣🀣🀣
 
Muulize ni raw marerial gani sisi tunawauzia na wao wanazalisha nn akikujibu nitag 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…