Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaaam. The leading EA city.
 

Attachments

  • FB_IMG_1499838401736.jpg
    26.8 KB · Views: 46
Nairobi wins by far.
Show me this city automated cleaning trucks kama zipo Nairobi?? Hizo za Dar es salaam. If real your better than Dar es salaam. Usituletee malori yakubeba zege na mchanga. Automated cleaning trucks I need to see them from Nairobi.Uzuri wa mji ni usafi kwanza. Nionyesheni hapa. Nairobi hakuna kitu chakusema inaizidi Dar es salaam
 
Nairobi wins by far.
Who are you by the way. Do you think ninyi vijana kutoka Kenya mtawaweza vijana wa kibongo?
No no no no no. Jaribu tena. By the way umekula lakini dogo!? {in man voice}
 
Annaeli waambie wakenya... Kasarani imejaa maji.. Ni aibu kule

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Who are you by the way. Do you think ninyi vijana kutoka Kenya mtawaweza vijana wa kibongo?
No no no no no. Jaribu tena. By the way umekula lakini dogo!? {in man voice}
Nimemwambia walau alete city cleaning trucks kama zinafikia za Dar es salaam. Mimi hawajamaa nawajua sana. Hupenda sana kudanganya. Awajui kwa sasa kuna mambo ya Internet nayamefanya uwongo wao uwe complicated. Mwisho wa siku wanapoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ