The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Ndo mjue nani baba hapa EA, ilikuwa chakula zen now tunaenda kukamata uchumi wenu kwenye umeme na gas, hamtoki wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120]Wat a very Blessed East Africa,tungekuwa hivo kila siku tungejipata mbali kila Nchi[emoji91][emoji91]
Tulikuwa tunataka tuwafanye muharakishe Deal yetu,mlikuwa Munataka kutuachanisha mabraza Kwani vipi😛Mlikuwa mnasema hapa kwamba mtanunua umeme wa Ethiopia imekuaje tena [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji1139][emoji117][emoji205][emoji529][emoji2781]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikieni hiii pimbi hio ilikua deal ya magufuli 🤣🤣🤣👇👇 na mumeingia mule mule alipopatakaMATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
Wafuate Magu Jehanamu[emoji88][emoji88]->>
[emoji23][emoji23][emoji23]
Deal za watu wenye uhai zmeanza kupigwaView attachment 1773570
Naona umesahau ilikua ni ahadi ya magufuli na alisema mara nyingi sana atapeleka pipeline ya gas uganda na kenya👇👇🤣MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
MATAGAA [emoji779][emoji779][emoji779]
Wafuate Magu Jehanamu[emoji88][emoji88]->>
[emoji23][emoji23][emoji23]
Deal za watu wenye uhai zmeanza kupigwa
Yani tumefurahi kupata soko la kudumu sasa bado uganda nae soon ata saini 😅😅😅 rwanda na burundi magari kutwa yako dar yakichukua LPG 😃😃😃😃Tulikuwa tunataka tuwafanye muharakishe Deal yetu,mlikuwa Munataka kutuachanisha mabraza Kwani vipi😛
And really it is a successful Business,God Bless Tanzania and Kenya🔥🔥Naona umesahau ilikua ni ahadi ya magufuli na alisema mara nyingi sana atapeleka pipeline ya gas uganda na kenya👇👇🤣
Shangilia tena wa wa waaaaaaaa
View attachment 1773632
Sisi tumefurahi kupata soko la kudumu na bado uganda soon tutasaini alaf itafuata rwanda burundi and congo alaf zambia na malawi sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣And really it is a successful Business,God Bless Tanzania and Kenya🔥🔥
Na musisahau kuhusisha investors wa Kenya kwa hizo deal,na zingine Kama hizo,pia nyie TZ muje muinvest Kenya pia😃Yani tumefurahi kupata soko la kudumu sasa bado uganda nae soon ata saini 😅😅😅 rwanda na burundi magari kutwa yako dar yakichukua LPG 😃😃😃😃
Akirudi nitag, jamaa ni wavivu wa kufikiri pia wanasahau mapema sn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umesahau ilikua ni ahadi ya magufuli na alisema mara nyingi sana atapeleka pipeline ya gas uganda na kenya[emoji116][emoji116][emoji1787]
Shangilia tena wa wa waaaaaaaa
View attachment 1773632
View attachment 1773635
Wao wanafkiri ni project ya mama kumbe wamesahau ni project alikua nayo magufuli na kaizungumza sana kwenye hotuba zake sasa wao wanasahau wanafkiri ni mama ndio kafanya yote hayo sasa wanahisi kama amekwenda kinyume na magufuli 🤣🤣🤣 yani ni wajinga hawana mfanoWakenya wavivu sn wa kufikiri eti wanashangilia sisi kuwauzia umeme na gas yn wanahisi gas yetu wao ndiyo watakuwa mawakala km walivyofanya kwenye mazao, ss hawajiulizi kwamba gas hiyo hiyo tunayowauzia ndio hyo hyo inayopatikana kwa wingi hapa kwetu, yn customer watoke wanapotoka eti waache kuja kununua gas Tz kwa bei rahisi eti aende Mombasa akanunue kwa bei ya juu, hawajui kwamba sisi ndiyo tutakao control bei ya gas hapa EA wakileta fyoko fyoko tunashusha bei [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au labda cjaelewa, hebu wakuu nielewesheni hawa kima wanashangilia nini hapa mana km wanashangilia kupata unafuu wa maisha toka kwa baba zao Tz sawa ila km wanashangilia kuuza maana yake nini? Si utopolo huu hawa kima wanaleta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mlikuwa mnabisha nn kwamba lengo letu tuwe tunawauzia.And really it is a successful Business,God Bless Tanzania and Kenya[emoji91][emoji91]
Tegemea Tz kuitawala Kenya kwa kiasi kikubwa sn this time mana hamtokuwa na ujanja zaidi ya kukubali tunachotaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na musisahau kuhusisha investors wa Kenya kwa hizo deal,na zingine Kama hizo,pia nyie TZ muje muinvest Kenya pia[emoji2]
Mambo ni kangaja huenda yakaja.Tony254 si ulikuwa unasema hamtonunua gas wala umeme wa Tanzania? Kuja utuambie imekuwaje sasa [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86][emoji85][emoji85][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji3545][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea ni kama Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda Kenya.Yale magari ya msafara kuelekea ikulu mengi ni ya kichovu sana,nimeona NOAH honda sedan na prado za kawaida sana.
Tha main owner ni TPDC na ndio controler wa hio business hapa tanzania na ndio mtoa zabuni wa bomba la gas hapa tanzania na ndio wanaouza gas kwa tanesco, dangote na viwanda vyote hapa tanzania 🤣🤣 na pia ni kampuni ya serekali inayoendesha faida🤣🤣🤣👇👇👇Na musisahau kuhusisha investors wa Kenya kwa hizo deal,na zingine Kama hizo,pia nyie TZ muje muinvest Kenya pia😃
Kwahiyo sasa mtanunua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo ni kangaja huenda yakaja.
Hatubishi Tena😛Hio Gesi pia Inatu Benefit,Jaribu kuwaza hivi"Maviwanda,Upishi,Magari,Stima itayobaki excess Tutauza"Kenya Ina Advisers wanao ona mbali Yani Making Futuristic Desicions,come to think of it it's a win win situation