Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Kwani kuna shida, hata mimi nikitaka kuenda kama Greenwich Maritime Institute, mfano. Si ni hela itaongea, ama ni vipi. So wao kuwa huko sioni issue jomba. Popote kambi!nilichokiona hapa ni ushamba na ulimbukeni na lack of exposure.. pale DMI kuna wakenya kibao
1-Kenya Naval Maritime Excellence CentreYaani hiyo academy yenu wanasoma civilians na navy humo humo 😅😅😅😅
Mabaharia hao mkuu, acha ushamba! 🤣 🤣 🤣Yaani hiyo academy yenu wanasoma civilians na navy humo humo 😅😅😅😅
Ushamba mnao nyie mnaodhani shule ka hiyo iko Tz pekee, nishakupa jibu sasa. Tuliza boli! 🤣Ushamba kuwatoka wakenya itachukua muda
Nilishawaambia hakuna mpya yoyote Kenya Tanzania itatustua
View attachment 1772249View attachment 1772250View attachment 1772251View attachment 1772253
asee leo niko free afu naona watu hampo active sana[emoji23][emoji23].. ngoja niendelee kukesha youtube nipate info mbalimbali
Angalia Marked roads zisizo na potholes kwa Jirani. [emoji23].
Mbona hamruhusiwi kuenda huko, sasa si mtu akirudi Bongo kusalimu raia na atake kurudi, balaa hiyo sababu hatoweza?
Hata usimlazimishe,hajui chochote kwenye sekta ya maji amekalia kubishana,hadi marine medical certificaties wanakuja kuchukua dar hao nyang'aunilichokiona hapa ni ushamba na ulimbukeni na lack of exposure.. pale DMI kuna wakenya kibao
Anaenda kuwachora tu kamwe hawezi kuchukua lolote toka kwaoAsipokuwa mwangalifu watam-drag kwenye mgogoro wao na Somalia!
Jirani mwingine labda! 🤣Hata Hivyo ATCL itakuala shavu la Chinese nationals wote waliopo nchi Jirani, watakuja Bongo kuondokea hapa kwenda kwao.
Ninyi mna centre, sisi ni college na alianzisha lame bragging ni weweUshamba mnao nyie mnaodhani shule ka hiyo iko Tz pekee, nishakupa jibu sasa. Tuliza boli! 🤣