President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,686
- 94,358
Wewe Mwala hebu tuliza. Umekula kweli Leo!?Nyinyi ndo mumerogwa Nani Kakwambia ATI lorry zimeishiwa na Pesa,wanapata pesa Daily Daily bana na sijaskia wakiteta,kitambo walikuwa wakistuka ATI watamaliziwa
Acha uzembe! Si nimekwambia usome post za juu? Haya, hii hapaUnakuwa huna demokrasia sasa. Mimi sikuwepo. Na mimi nataka haki yangu ya kuelimishwa.
Unaanza udikteta sasa. Mimi sijakuuliza kulingana na wewe. Mimi nataka kujua ki ujumla.Acha uzembe! Si nimekwambia usome post za juu? Haya, hii hapa
Demokrasia kama demokrasia ( sio kulingana na mimi) ni mfumo ambapo nguvu za kuendesha nchi hutekelezwa na watu na kupitia njia halali za ushiriki katika maamuzi ya kisiasa.
Udikteta upi tena? Hiyo post nilikuwa nimemjibu mtu mwingine so nimecopy na kupaste.Unaanza udikteta sasa. Mimi sijakuuliza kulingana na wewe. Mimi nataka kujua ki ujumla.
Je demokrasia ni imani au ni utamaduni!?
Nilikwambia natandikanga Githeri Mafimbo,Naipa Kichapo mpaka Inateremka Vizuri😛Wewe Mwala hebu tuliza. Umekula kweli Leo!?
Sasa nataka uniambie Demokrasia ni nini kwa kiswahili!?Udikteta wapi tena? Hiyo post nilikuwa nimemjibu mtu mwingine so nimecopy na kupaste.
Demokrasia sio imani Ila inaweza ikawa aspect ya tamaduni.
Hivi unataka nikujibu mara ngapi? Maana ya demokrasia nimeshakupa unataka Maana gani tena nyingine?Sasa nataka uniambie Demokrasia ni nini kwa kiswahili!?
NIJIBU KWANZA MAANA YA DEMOKRASIA.
Kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi unakula chakula aina moja!? Utakuwa na ugonjwa wa safura.Nilikwambia natandikanga Githeri Mafimbo,Naipa Kichapo mpaka Inateremka Vizuri😛
Huo mfumo umetokana na nn kama sio mitazamo ya watuuAcha uzembe! Si nimekwambia usome post za juu? Haya, hii hapa
Demokrasia kama demokrasia ( sio kulingana na mimi) ni mfumo ambapo nguvu za kuendesha nchi hutekelezwa na watu na kupitia njia halali za ushiriki katika maamuzi ya kisiasa.
1. Unaposema GUVU unamaanisha nini!?Hivi unataka nikujibu mara ngapi? Maana ya demokrasia nimeshakupa unataka Maana gani tena nyingine?
Haya, hii hapa tena.
Demokrasia ni mfumo ambapo nguvu za kuendesha nchi hutekelezwa na watu na kupitia njia halali za ushiriki katika maamuzi ya kisiasa.
Mitazamo ya watu yenye nia moja! Mitazamo ya watu ikiwa tofauti unadhani kutakuwa na demokrasia?Huo mfumo umetokana na nn kama sio mitazamo ya watuu
🤣🤣🤣Tema hayo mate wweKuanzia asubuhi mpaka sasa hivi unakula chakula aina moja!? Utakuwa na ugonjwa wa safura.View attachment 1770356
Mitazamo ya watu yenye nia moja! Mitazamo ya watu ikiwa tofauti unadhani kutakuwa na demokrasia?
Kwa mfano, kuna watu humu hawataki demokrasia. Lakini hawaelewi jinsi gani wanavyoishi maisha yao kwenye hii nchi kutokana na demokrasia!
Sasa, mtazamo wao wa demokrasia ni mbovu Maana hawatambui umuhimu wa demokrasia maishani mwao.
1. Unaposema GUVU unamaanisha nini!?
2. Njia halali ni nini!?
3. Nani anaye toa uhalali wa njia hizo!?
4. Kipimo cha uhalali kimewekwa na nani!(Mungu, Shetani, Adamu au!!?)
Haya mambo huwa yananichanganya sana. Kujibu kwako kutanifumbua macho.
Wasalaam
VENUS STAR
Mzee baba ili swala tunaweza tukajadili mpaka kukuche bila muafka ila nlitaka nikumbie jinsi mmerekani anavyoitafsiri demokrasia isiwe ndio kipimo cha kupimia jinsi demokrasia inavyotekelezwa katika mataifa mengine kwasababu tamaduni na mitazamo ya nchi na nchi inatofautianaHivi unataka nikujibu mara ngapi? Maana ya demokrasia nimeshakupa unataka Maana gani tena nyingine?
Haya, hii hapa tena.
Demokrasia ni mfumo ambapo nguvu za kuendesha nchi hutekelezwa na watu na kupitia njia halali za ushiriki katika maamuzi ya kisiasa.
Okay.1. Unaposema GUVU unamaanisha nini!?
2. Njia halali ni nini!?
3. Nani anaye toa uhalali wa njia hizo!?
4. Kipimo cha uhalali kimewekwa na nani!(Mungu, Shetani, Adamu au!!?)
Haya mambo huwa yananichanganya sana. Kujibu kwako kutanifumbua macho.
Wasalaam
VENUS STAR
NimekujibuNijibu maswali yangu haya nami nijue. Utamu na uchungu wa demokrasia.
Naelewa unachokizungumzia. Kwasababu Marekani kuna uhuru wa kumchora picha za katuni Rais akiwa uchi? Kuna mahali nimeandika kuwa demokrasia inaweza kuwa aspect ya tamaduni. Wamarekani wengi wako liberal! Kwa hiyo uhuru wa kujieleza ni asili yao.Mzee baba ili swala tunaweza tukajadili mpaka kukuche bila muafka ila nlitaka nikumbie jinsi mmerekani anavyoitafsiri demokrasia isiwe ndio kipimo cha kupimia jinsi demokrasia inavyotekelezwa katika mataifa mengine kwasababu tamaduni na mitazamo ya nchi na nchi inatofautiana
Mzee nenda kalale hujui kueleza.Okay.
1. Nguvu
Nguvu ya watu ni feature ya demokrasia kwasababu watu Ndio wanao uwezo wa kuchagua wawakilishi wao (viongozi) na viongozi hawa wanafanya mambo ambayo ni best interest za watu wote kwa usawa.
2. Njia Halali
Ni pale viongozi huchaguliwa na wananchi kwa Hali na usawa. Pale njia za mkato kama kuiba kura zinapotumika katika uchaguzi basi sio hali ya kidemokrasia.
3. Nani anayetoa uhalali wa njia hizo
Sheria za nchi!
4. Kipimo cha uhalali kimewekwa na nani?
Serikali