Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,227
- 107,854
Endelea kujidanganya little crude oil Turkana, Magadi soda na Tsavorite wakina Uhuru wana-plunder!Imagine Madini yetu KE Ni untapped 96% Sjui tukiguza Tutakuwa wapi Tutapaa Kama vile Saudi.Imagine Kenya only rely kwa mimea pekee.Nyinyi TZ mnauza Madini Lakini sijui Pesa inapotelea wapi🤔
Uko busy kuwai usafiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] peleka mafii mbaliWee Mkikuyu wa bongo nini,? Ni mavi sio mafii. Mafii waachie waarabu! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Serikali ya wakenya?Tanzania si ya Tanzanians Ni Shamba ya Serikali[emoji120][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe maskini wa kibera umekula!?
Halafu wewe kwenu ni TurkanaView attachment 1769975View attachment 1769976
Mavi!Uko busy kuwai usafiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] peleka mafii mbaliView attachment 1770030
Nope you rely on loans ndio maana mmekopa mara 20 ya Tanzania yet you went nowhere na hamna maendeleo yoyote ya kuibabaisha TanzaniaImagine Madini yetu KE Ni untapped 96% Sjui tukiguza Tutakuwa wapi Tutapaa Kama vile Saudi.Imagine Kenya only rely kwa mimea pekee.Nyinyi TZ mnauza Madini Lakini sijui Pesa inapotelea wapi🤔
The fact that insist on believing Magufuli didn't die 🤩🤩🤩🤩
Yeah, hiyo pesa ni nyingi sana Lakini nafurahi namna mataifa ya mbali wanavyoielewa kazi njema ya JPM, Africa tupo backwards kutokana na aina ya viongozi tulionaoTerminal 3 iligharimu way less than iyo aliyotaja mzee kama tungejenga airport ya 900m si pangekuwa hapatoshi umu ndani
Barabara iliyopigwa Viraka kuonyesha quality yake sio nzuri ndio maana kuna maeneo yamerudiwa ( Angalia rangi mbili za barabara iliyopauka na iliyorudiwa) ila baada ya kupaka lami nyeupe ya Marking ni bonge la deal) kuna mtu anapost na ndio Quality Benchmark yake. [emoji23]
View attachment 1770034
Demokrasia is an illusion mzee sijawahi kuamin kwwnye ilo jambo tanguYeah, hiyo pesa ni nyingi sana Lakini nafurahi namna mataifa ya mbali wanavyoielewa kazi njema ya JPM, Africa tupo backwards kutokana na aina ya viongozi tulionao
Ata France imekopa Mara 1000 yenu na hawajakufa.Na America Mara Millioni yenu. Sisi tunakopa na kufanya Mega projects Mingi sana Nchi nzima Yani ata siwezi aminiNope you rely on loans ndio maana mmekopa mara 20 ya Tanzania yet you went nowhere na hamna maendeleo yoyote ya kuibabaisha Tanzania
Note kwamba Tanzania imeanza kuchimba madini yake kuanzia 2000s na mpaka sasa ni 10% tu ya madini yaliopo Tanzania ndio yameguswa.
Nyie watu mnanitisha 😂😂😂😂 Ati demokrasia ni nini?Demokrasia is an illusion mzee sijawahi kuamin kwwnye ilo jambo tangu
Waulizee wachina watakueleweshaNyie watu mnanitisha 😂😂😂😂 Ati demokrasia ni nini?
View attachment 1770106
Nina marafiki wachina na usiwahi kudhani kuwa kila mchina anapenda communism! Violations za freedom of speech, religion etc zimetawala China!Waulizee wachina watakuelewesha
Aiseee, so sad ila mwamba alijenga msingi imara sana wa matibabu kwenye ishu konky kama hizi. Sasa hivi kazi ni rahisi tu, kuendelea maana njia ishachongwa. Hope kitu kama hizi ziwepo hospitali zote za mikoa.
BTW JNIA Terminal 3 costed a pricesly $314 mln! Naomba uende ukamsahihishe! Africa iache kuibiwa! 🙏 🙏The fact that insist on believing Magufuli didn't die 🤩🤩🤩🤩