Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Google ndio msaidizi wako...hapo pengine ni wewe na data zako.. halafu kufananisha Kenya na Tz kwa chochote mkome...sababu Kenya hana mwenzaka EA
Ila leo mmepigwa 10-0 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa mtashinda kwenye kitu gani mana kila kitu tunawapiga, niwashauri tu Wakenya bakini na GDP ushuzi ambayo cku hz mshaujua ukweli mnaogopa kuiongelea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafunzwa Kiswahili humu., Umeona difference from their screenshot, Kshs 23(Tsh500) kwao ni 150mb Kenya 20 ni 200 mb!., mafala kupindukia. Facts ndio dawa, mwendo wa weka ni weke[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio manake wanaogopa kuleta screenshot ya vifurushi kutokana mitandao wanayotumia[emoji23][emoji23]
Ona tigo hyo kwanza mutoka kw wazee wa cheap internet..

Yani 40gb inauzwa kitu ksh2500 monthly, si hawa majama wanapenda kulishwa propaganda sana..yani kisha hapo vodacom hatujagusa
 
😀😀😀 hiki nini?
 
We jamaa akili zimo kweli kichwani.
Maana yake 1Gb = 1000Tsh
Ni sawa na 50Ksh for 1GB.
[emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Mbona unajipunguza kw hesabu za st kayumba[emoji23][emoji23]
Sisi hku 30gb unapata kw ksh1000 sasa nambie wewe tangia lini tsh30000 ikawa sawia na ksh1000[emoji23][emoji23]
Akili zimeenda wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…