Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama tunajenga Magufuli bridge pale Kigongo Busisi kwa 667bn tunashindwaje kujenga hizo flyover za $45-100m? Hivi huko Kenya shule zenu hufundisha ujinga ee!
Akili fupi imejianika tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kuna mahitaji ya nchi, na sio tu flyover, CCM imewafilisi hadi ubongo , in Tanzania lazima u sacrifice mahitaji ya sehemu kwanza, utatoa pesa wapi? Your annual income iko wazi and National budget pia., Sasa wewe mwenye unajiona mjanja na akili ndefu start breaking down vis a vis recurrent expenditure nione the far u can go!., start am here..,
 
Maneno matupu kwangu wala hayaniyumbishi, hapa ni mwendo wa screenshots kutoka kw mitandao yenu mnayotumia..
Utafunzwa Kiswahili humu., Umeona difference from their screenshot, Kshs 23(Tsh500) kwao ni 150mb Kenya 20 ni 200 mb!., mafala kupindukia. Facts ndio dawa, mwendo wa weka ni wekeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tukitumia latest exchange rate;
Tshs 500 is Kshs 23 which buys 100mb,
Kshs 20 is Tshs 460, buys 200mb data.,

You can confirm wenyewe.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…