Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ya Kenya iko wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funga domo lako chafu kwenye hizi issue,we piga pumba zako pengine lakini kwenye hili funga hicho choo cha jiji
 
Lami za tope kama kenya tu
 
Kazi nzuri ya biashara ya miti na parachichi japo mwendazake aliifix Sana biashara yetu bora kaondoka tupumue
Wewe ulikuwa jizi bandarini wewe 🀣🀣🀣🀣

Haya mateso sio ya bure
Kipindi cha Magufuli ndio uzalishaji wa parachichi umeongezeka na ndio kipindi serikali yake imeishawishi Afrika kusini kununua parachichi za Tanzania

Ndio maana duniani kote anakumbukwa ni majizi machache mno mnaoteseka
 
Ndio nikauliza hzo brt lanes mliongezea nguzo tofauti na zile za magari ya kawaida, manake "naona yetu iko na brt, yetu iko na brt" tu nkm waliw
ezeka nguzo special kw ajili ya brt lanes..

Alafu ukweli mumepigwa
 
Hii htaa nkm iliisha kitambo, pitia youtube ukajione achana na hawa wanenguaji
 
Ongezeko sio tatizo ,ishu ni soko yeye alikuwa anawabania Wakenya lakini tunaumia sisi wakulima.Watzn na kampuni zao bado hawana mtaji mkubwa na soko lao ni finyu tofauti na Wakenya ambao wako kwenye game miaka mingi.

pili hata mazao ya mbao alitubania sana kiasi kwamba kuna mikodi mingi na kajaza wachina huku Mafinga nk eti ni wawekezaji,afu bei ilidondoka sana sababau ya demand kuwa chini kwa vile ujenzi ulipungua pia.

With new approach ya mama kwenye biashara ni matumaini yetu tutarudi kwenye game na tutakuwa milionea sasa
 
Taga linajifariji,safari hii kujipendekeza na mapambio hakuna tafuta Kazi ya kufanya la sivyo ksingie na wewe kwenye kaburi tuwafukie maana mlitutia hasara Sana nyie dogs

Hueleweki unachoongea.
Nakuambiaje, hata mkijaribu namna gani ya kumuua JPM hamtafanikiwa. Mna uwezo na madhara ambayo hamuwezi kumfanya chochote. Kwa sababu ya chuki zenu, mtabaki kuumia daima kwa mafanikio anayoyapata kuzunguka kote kote duniani.
 
Mkuu napingana na wewe, kama kuongoza ni mpaka atiwe moyo basi hatufai. JPM mbona alikuwa anazodolewa kila siku ila alisimamia anachoamini, JPM alienda kinyume na dunia nzima kwenye corona, mama angepiga lockdown za kutosha.

Embu kaa halafu tulia na kuchunguza namna ya kila mmoja alivyoingia na kutwaa madaraka.
 
Ujenzi umepungua?

Unaweza kuleta statistical approach illustrating idadi ya projects kabla na baada ya JPM

Tatizo lako unajadili kwa chuki mno badala ya uhalisia na facts na unashangaza mno utimamu wa akili yako kwa namna unavyoteseka na mtu ambae haexist
 
Funga domo lako chafu kwenye hizi issue,we piga pumba zako pengine lakini kwenye hili funga hicho choo cha jiji
Taarabu tena,awamu ya sita hakuna band ya pambio wala kujipendekeza tafuta kazi ya kufanya.Mataga bwana utasikia Rais ametupa bil.kadhaa utafikiri alitoa kwenye kibubu cha baba yake.

Tunakamata rungu la mwenyekiti na tunafanya yetu,pimbi nyie mlitaka kutuharibia nchi,hakuna siku mtakuja kutoa Rais ile kanda.Marehemu Julius alituasa tukapuuza ndio maana tumekula hasara miaka mitano.Afu mabilioni ya wafanyakazi nssf zimeozea kwenye mashamba ya miwa hakuna kinachoendelea mbwa nyie na jitu lenu.
 
Hizi ndio interchange sio zile takataka kama za ubungo sijui kijazi na zingine za huko Nairobi.Hongera sana Ghanians.Next time mataga wanapojipiga kifua wawe wanatuonesha vitu kama hivyo.Huko Ghana sio tuu mambo makali yapo mji mkuu Accra bali across their country

Sasa jitu limekulia kwenye michembe na kuona mavi ya ngombe miaka yake yote linakuja kujigamba sijui intachenji sijui stendi yaani ukiliangalia unalisikitikia tuu.Tunaomba intachenji mshenzi japo moja tuu nje ya Dar
 
Yaani hata hueleweki msimamo wako kwenye biashara ni upi?

Unataka biashara huria au maximum controlled business?

Unalalamika facts za uongo kwamba aliwaongezea kodi ya mbao na kuwazuia wakenya (sio huria)

Hapohapo unalalama kwanini kawaachia wachina (huria), hivi huwa unajisikiliza?

Punguza chuki na uchungu, your the notorious sadist ever encountered with!
 
Mimi hata sitoki hiyo kanda na siku ukijua natoka wapi utajiona ulivyo mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…