πππππππ jibu hili hapaJibu la Netflix Naija Kwanza. Nifungue link ya nini, wakati naona ni nini kinachoongelewa hapo. Naija first, huyo mkenya asiyemjua Idrriss hadi kuandika hivyo, ni naniiiiiiii !!! π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Lazma kuna figisu hua munafanya chini kwa chini kwani aliesema diamond ni mkenya alikua mtu kutoka wapi??π€£π€£π€£ tatizo lenu munafkiri hii ni dunia ya 90s mukidhani mutadanganya watu, sasa hvi wewe ukismamishwa na mtoto wa miaka miwili humdanganyi kitu
Kweli wewe akili ya utopolo, Diamond ameingilia wapi, unaandika post zilizotiwa error na wa Nigeria, unasema niza wakenya, ilimradi tu, uanze povu. Nishakunusa kitambo sana. π€£π€£π€£Lazma kuna figisu hua munafanya chini kwa chini kwani aliesema diamond ni mkenya alikua mtu kutoka wapi??π€£π€£π€£ tatizo lenu munafkiri hii ni dunia ya 90s mukidhani mutadanganya watu, sasa hvi wewe ukismamishwa na mtoto wa miaka miwili humdanganyi kitu
Usinibandikizie "hasira", hata sina, nipe jibu la post ya ile series ya Netflix ya Naija. Huyo mkenya aliyeandika ni nani? π
Tatizo lenu nyinyi munafkiri tanzania ni mhasimu wenu πππ sio leo wala jana kenya mukitangaza kilimanjaro iko kwenu mara utaskia kigamboni bridge iko kenya mara utaskia diamond ni mkenya πππ yani ni mambo mengi sanaJibu la Netflix Naija Kwanza. Nifungue link ya nini, wakati naona ni nini kinachoongelewa hapo. Naija first, huyo mkenya asiyemjua Idrriss hadi kuandika hivyo, ni naniiiiiiii !!! π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Ndio nakupa ushahidi huwezi kwenda mbele kama nyuma hukupita najua unanielewa sana π€£π€£π€£π€£π€£ nyinyi hamupendi kuona tanzania ikipata points lakini sasa dunia sio ile ya kumdanganya mtu akaaminiKweli wewe akili ya utopolo, Diamond ameingilia wapi, unaandika post zilizotiwa error na wa Nigeria, unasema niza wakenya, ilimradi tu, uanze povu. Nishakunusa kitambo sana. π€£π€£π€£
Mambo ya Diamond siyajui, jibu swali kwanza, ka huwezi sema, usione aibu dogo! π€£ π€£ π€£ π€£ Sitakusema! π€£πππππππ jibu hili hapa
Haya, kachukue ya wacongomeni pia uje useme ni ya wakenya!!! π€£ π€£ π€£Ndio nakupa ushahidi huwezi kwenda mbele kama nyuma hukupita najua unanielewa sana π€£π€£π€£π€£π€£ nyinyi hamupendi kuona tanzania ikipata points lakini sasa dunia sio ile ya kumdanganya mtu akaamini
Ni figisu za chini kwa chini kutoka kenya mbona hatuskii uganda wakifanya ujinga munaofanya nyinyi miaka yote?? Na kwann iwe tanzania tu kwann musidanganye na vya nchi nyingineπ€£π€£π€£ punguwani wakubwaMambo ya Diamond siyajui, jibu swali kwanza, ka huwezi sema, usione aibu dogo! π€£ π€£ π€£ π€£ Sitakusema! π€£
Hehehe safarii hii kila kitu kimegonga mwamba π€£π€£π€£π€£Haya, kachukue ya wacongomeni pia uje useme ni ya wakenya!!! π€£ π€£ π€£
Hayo yote ni upuzi, na ka yupo aliyesema hivyo, basi labda anaishi kwenye mahandaki! π€£Tatizo lenu nyinyi munafkiri tanzania ni mhasimu wenu πππ sio leo wala jana kenya mukitangaza kilimanjaro iko kwenu mara utaskia kigamboni bridge iko kenya mara utaskia diamond ni mkenya πππ yani ni mambo mengi sana
Tatizo lenu nyinyi munafkiri tanzania ni mhasimu wenu πππ sio leo wala jana kenya mukitangaza kilimanjaro iko kwenu mara utaskia kigamboni bridge iko kenya mara utaskia diamond ni mkenya πππ yani ni mambo mengi sana
Labda muende mukadanganye punda wa lamu π€£π€£π€£π€£Hayo yote ni upuzi, na ka yupo aliyesema hivyo, basi labda anaishi kwenye mahandaki! π€£
Kweli, sababu naona "NaijaonNetflix" bado sijapata kuona "TanzaniaonNetflix". πππTena hata usiende huo upande, sababu bado sana. Huyo Idriss awape exposure kwanza, mengine yatakuja baadaye! π€£Hehehe safarii hii kila kitu kimegonga mwamba π€£π€£π€£π€£
View attachment 1765193
π€£π€£π€£π€£ yani ni mafala kweli haya jamaa eti yanafkiri dunia bado iko 90s kwa vile wachina wamewaletea zile locomotives za 1950s wakafkiri dunia imesmamaπ π hajui leo mtoto wa miaka miwili humdanganyi kituOlduvai gorge kenya, mwendo kasi kenya.
Duuu
Muna figisu za chini kwa chini nyinyi tunawajua vzr sana πππ hata yule mwanadada mkenya aliekua ana hojiwa america akasema olduvai gorge iko kenya kwani ulikua unafkiri nn ??? πππ na watu wakamuumbua akaomba samahaniKweli, sababu naona "NaijaonNetflix" bado sijapata kuona "TanzaniaonNetflix". πππTena hata usiende huo upande, sababu bado sana. Huyo Idriss awape exposure kwanza, mengine yatakuja baadaye! π€£
Sikiliza hili jinga lenu π€£π€£πππ mbona aliomba msamaha mamaeeeKweli, sababu naona "NaijaonNetflix" bado sijapata kuona "TanzaniaonNetflix". πππTena hata usiende huo upande, sababu bado sana. Huyo Idriss awape exposure kwanza, mengine yatakuja baadaye! π€£
Kuna mama mmoja kutoka kenya baada ya kifo cha rais eti anadai anamimba ya magufuli π€£π€£π€£π€£ hawa watu hata sijui wanalaana ya mtume gani ???Olduvai gorge kenya, mwendo kasi kenya.
Duuu
TanzaniaonNetflix???π π π Pigeni makofi, Idriss amekuwa m'bongo wa kwanza ku feature kwenye Netflix movie basi! π€£Muna figisu za chini kwa chini nyinyi tunawajua vzr sana πππ hata yule mwanadada mkenya aliekua ana hojiwa america akasema olduvai gorge iko kenya kwani ulikua unafkiri nn ??? πππ na watu wakamuumbua akaomba samahani
Baba naye hajatokea ya kwake? πKuna mama mmoja kutoka kenya baada ya kifo cha rais eti anadai anamimba ya magufuli π€£π€£π€£π€£ hawa watu hata sijui wanalaana ya mtume gani ???
Mi niko Netflix bado, dadeki! π€£Sikiliza hili jinga lenu π€£π€£πππ mbona aliomba msamaha mamaeee