Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Still wondering why JPM hakumchagua huyu jamaa kua makamu wa raisi...while huyu mwamba m99 kawatimua watu huyu wa kwetu jamaa wa tasac walilamba 600m+ kwa vikao kawasema tu ila kawaacha.
2015 JPM alipendekeza majina mawili Hussein na Samia, Samia akaungwa mkono na wazee wengi. Ndiyo maana 2020 JPM alipambana Hussein awe Rais wa Zanzibar lengo kumfanya Hussein ajifunze kwa matumizi ya badae.
 
Acha kujichekeshaa mzee 😅😅😅 iyo Diana kafananishe na coco bichi ya bongo tuu basi, kwenye maswala ya bichi husitugusee kabisaa hutaumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…