Hivi hii list si inasema tu kiasi cha pesa ambacho mtu anatakiwa awe nacho ili ahesabike yupo ndani ya 1% ( Super Rich ndani ya population ya Nchi flani) kwa hiyo Kenya ukiwa na Usd 20,000 wewe ni mmoja wa 1% ?
Kwa hiyo mwenye Milioni arobaini na kitu Bongo ni noma Kenya[emoji23]
Au??
View attachment 1760733
View attachment 1760734
Ushamba mzigo baba, jamaa huwa anaokota link zinazoongelea utajiri popote zilipo ili kujifariji na maumivu aliyoyapata kutoka Knight Frank [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hii list si inasema tu kiasi cha pesa ambacho mtu anatakiwa awe nacho ili ahesabike yupo ndani ya 1% ( Super Rich ndani ya population ya Nchi flani) kwa hiyo Kenya ukiwa na Usd 20,000 wewe ni mmoja wa 1% ?
Kwa hiyo mwenye Milioni arobaini na kitu Bongo ni noma Kenya[emoji23]
Au??
View attachment 1760733
View attachment 1760734
Kweli Mungu ni siri kubwa, hapo watu hawajui nani atakuwa rais anayefuatia baada ya JK walidhani atakuwa mtu yuleee, lkn pia hawakuwahi kutegemea km huyo mmama atakuwa rais ajaye, hata yeye mwenyewe hakuwahi kuota, kwanza kuwa hapo kwake ilikuwa ni mafanikio makubwa kabisa ktk historia yake.leo ndo nagundua kwenye hii picha mama Samia nae alikuwepo [emoji23][emoji23]
probably, wote tulikuwa hatujui
View attachment 1760763
leo ndo nagundua kwenye hii picha mama Samia nae alikuwepo [emoji23][emoji23]
probably, wote tulikuwa hatujui
View attachment 1760763
ndivyo nilivyoelewa.. kwahio hata mim nipo[emoji23]
HGA was initialized in 2017 ambapo serikali ya TZ walitakiwa kupata 5% ila kwa sasa wamediscuss upya na wamekubaliana TZ nao wapate 15%. ndio maana walishindwa kusign tareh 11 april. hence wakimaliza hiyo discussion watasign ya 15%Nimemsikiliza James Mataragio
Nimepata insights kadhaa muhimu kuhusu EACOP
[emoji736] Tanzania itakua na 15% sawa na wenye mafuta Uganda
[emoji736] Total watajenga jumla ya kilometers 300 za barabara kama sehemu ya mradi
[emoji736] Total wataimarisha zaidi reli ya kati kwa kujenga depots zaidi ya 8
[emoji736] TRC watabeba mzigo wa Total kwa zaidi ya 80%
[emoji736] Tanesco watafanya Biashara kubwa sana Total na ya kudumu wakati wa ujenzi na baada ya ujenzi
[emoji1241][emoji2732] Magufuli Legacy Lives [emoji2732][emoji1241]
😂 😂 😂 😂 Unawakana ndugu zako mkuu? 🤣 Kumbe 'Judas' mko wengi bongo? Wanasema ukweli lakini ndio maana unaponda. The truth will set you free, my 'broda'... 😂We kweli mgeni na Jf, hao ulio screenshot ni UFIPA hao na bosi wao ni Zitto Kabwe huwa wanakosoa mpaka hewa ya Tanzania wakati dunia nzima hewa ni moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kulikua na tukio gani wakuu, sijawahi ona hii.
Wametukanwa kwa lugha ya kichumi ila walivyo mazuzu wanashangilia, yaani Kenya ni the most poorest when comes to wealth status in the world, masikini wa mwisho wa Marekani ni tajiri mkubwa Kenya 😅Hivi hii list si inasema tu kiasi cha pesa ambacho mtu anatakiwa awe nacho ili ahesabike yupo ndani ya 1% ( Super Rich ndani ya population ya Nchi flani) kwa hiyo Kenya ukiwa na Usd 20,000 wewe ni mmoja wa 1% ?
Kwa hiyo mwenye Milioni arobaini na kitu Bongo ni noma Kenya[emoji23]
Au??
View attachment 1760733
View attachment 1760734
Hiyo ya chini ama ya juu, usinizingue, hehe na naona kazi ni kubomoa na kujenga siku hizi! 🤣Hehehehe ishahama hii hapa inajengwa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545]View attachment 1760583View attachment 1760585
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unamlisha maneno tenaMama kaiweka vizuri sana mbona? Kasema sio kwamba AirTanzania inapata hasara zinazotajwa kwenye reports, Bali yale ni madeni ilioyarithi toka AirTanzania ya zamani, maana yake kama ingeanza as fresh usingeona hayo madeni
Umesahau zile "juisi" za ikulu?Hapa kulikua na tukio gani wakuu, sijawahi ona hii.
Ni hatua kubwa sana na maslahi makubwa kwa taifa kupata huo usawa hasa ukizingatia asset kubwa kwa upande wetu ni ardhi tu ambayo haingeweza kuingizia taifa pato kubwa kiasi hiki hata kama tungeitumia katika uwekezaji mwingine wowoteHGA was initialized in 2017 ambapo serikali ya TZ walitakiwa kupata 5% ila kwa sasa wamediscuss upya na wamekubaliana TZ nao wapate 15%. ndio maana walishindwa kusign tareh 11 april. hence wakimaliza hiyo discussion watasign ya 15%
Sasa kwani sio kweli kwamba AirTanzania imerithi madeni makubwa huenda kuliko hata mtaji wake ama?Mbona unamlisha maneno tena
Ebu tupe madini zaidi na vipi kuhusu LNG maza naona kagusiaNimemsikiliza James Mataragio
Nimepata insights kadhaa muhimu kuhusu EACOP
✅ Tanzania itakua na 15% sawa na wenye mafuta Uganda
✅ Total watajenga jumla ya kilometers 300 za barabara kama sehemu ya mradi
✅ Total wataimarisha zaidi reli ya kati kwa kujenga depots zaidi ya 8
✅ TRC watabeba mzigo wa Total kwa zaidi ya 80%
✅ Tanesco watafanya Biashara kubwa sana Total na ya kudumu wakati wa ujenzi na baada ya ujenzi
🇹🇿🕯️ Magufuli Legacy Lives 🕯️🇹🇿
Ni kweli LNG ni kipaumbele cha TPDC na wapo katika hatua za ukamilishaji mda mfupi chini ya miezi 6 watasign makubalianoEbu tupe madini zaidi na vipi kuhusu LNG maza naona kagusia
Huu mradi utatuinua sana Watz km utalenga kumsaidia mTz wa chini, hii nchi imekaa kimkakati sn yn tumshukuru Mungu kwakweli sema tatizo viongozi wazalendo tulikosa.Ni kweli LNG ni kipaumbele cha TPDC na wapo katika hatua za ukamilishaji mda mfupi chini ya miezi 6 watasign makubaliano
LNG ni mradi mkubwa sana na wa thamani kubwa zaidi ya $30 billion hivyo unahitajika umakini wa hali ya juu japo kwa maneno yake Dr Mataragio kakiri wazi kwamba ndani ya miezi michache na wenyewe utaanza sababu wamekua na kipindi kirefu sana cha mazungumzo kwa zaidi ya miaka 6 sasa.