Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Built in 1980 and yours 2009 hauna aibu wewe

sent from iPhone 7
Kenyan bana ,kupitia Uzi huu nimejua kuna mada izi ukimtajia mkenya anakimbia kwanza anarudi mpaka mambo yapoe
1. Kumiliki ardhi Nairobi
2. Kujenga dream house Nairobi
3. Makazi ya kawaida ya normal citizens wa Nairobi
4. Technology APA ndo wanaleta bla bla kibao uku mpaka karne hii driving licence wanatumia booklets
5. Chakula huu ni mwiba makali sana kwao kwani njaa haijawai muacha jirani yetu mkenya kila mwaka anaililia Tanzania imlishe ,ila mjue kwa sasa tumegoma kuwa spoon feed tunawauzia ugali na uji sio maindi tena
6. Majengo marefu ,apa watakuletea mpaka antenna wanakwambia ndio urefu
7 . public transportation ya jiji LA Nairobi wakisikia ya DSM wanakimbia kwanza
8 . Ukiwaonesha wa Kenya the only super bridge in East and central afrika ambayo inapatikana DSM ,wanakuletea na wao weigh bridge za Nairobi kwa ajili ya kupima magari uzito
9. Ukiwaonesha stadium international ambayo east na central afrika hakuna ipo only in DSM bila aibu wanakuletea ka uwanja kagofu kanaitwa sijui kasarani hakana ata viti watu wanakalia concrete cement

Uzi uendelee niendelee kuwa study

spensa_e
 
study your LDC first....it would help better
 
e9fe8295f7136e24b28f3c0c54416541.jpg

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
Acha uongo hii ni North America
 
Oya kasarani msipost uku hamuoni aibu?nyie jamaa mnaroho ngumu sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mzungu amepigwa shock. ...Hahaha
Vip
048189e48ba348ef06e56fc1424432cb.jpg

7ea06f430e3d3a8294bfa1b6265a4c96.jpg

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
Unaongelea Arusha airport... The busiest regional Airport in a country.... Ambapo flight zake zinaizidi hata eldoret na kisumu airport... U guys mkapimwe akili

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Stadium mpya itayojengwa Dodoma na Magufuli itachukua mchoro kama yakiwanja hiki kilichopo chini. Kitakuwa kiwanja kikubwa zaidi kuliko cha Dar es salaam kwa kubeba watu wengi zaidi. Hadi sasa maandalizi ya site clearing yanafanyika mjini Dodoma. Magufuli hoyee. Magufuli tumpe number ngapi?View attachment 539789View attachment 539789
Hadi 2020 hili jukwaa manyang'au yatakuwa yashakimbia na mengine kubadili ID's,
Maana
JNIA will be greater than JKIA
Flyovers and Interchanges
SGR
Dodoma Stadium
DSM Port complete
Umeme wa Kumwaga
Viwanda Vingi
ATCL on its peak.
Ni bahati kubwa Kuzaliwa Tz.
 
My friend, if your eyes convincing you that pumpkin iko safi, unatakiwa uende kwa doctor wa macho.
What the difference of this tank
images

and your Tank building

DEdf7vYXsAAv9Gr.jpg
Very beautiful indeed park -inn 4 star hotel, ndio maana mimi hukuambia macho yako yana makengeza
 
Jameson72-586x319.png

My friend, This is not Nairobi, So you guys are now driving on the right? Even the vehicles on the road are telling us a different thing.
This is Outer ring road under construction man google
 
Hadi 2020 hili jukwaa manyang'au yatakuwa yashakimbia na mengine kubadili ID's,
Maana
JNIA will be greater than JKIA
Flyovers and Interchanges
SGR
Dodoma Stadium
DSM Port complete
Umeme wa Kumwaga
Viwanda Vingi
ATCL on its peak.
Ni bahati kubwa Kuzaliwa Tz.

Hahaha. ....dont forget the lapsett project is going on.....flyovers na interchanges tunapeleka in all 47 Kenyan counties.5 New World class stadiums are to be constructed in 5 years. ..and IMF projection for Tanzania GDP will be 77 billion dollars by 2023.....Kenya has been projected at 117 billion dollars. Dar is slum and Tanzania watasoma namba hadi yesu arudi....Hahaha
 
Hello neighbour from north, have you eaten!?
A whole grown person thinking every kenyan is starving shows how bad Tz is hit with dumb heads.
Kenya has a wide variety of food, in fact so much that different regions or cities have their own popular food. Nairobi food is totally different from the type of food in Mombasa. In the rift valley, we have popular foods like Mursik and beef both goat, cow beef unlike the popular food in western region like chicken, tilapia, ugali. In central we have mukimo, ngwaci, waru... Every region has its own popular food apart from the common food among all Kenyans, so i am so sorry for you if you think kenya is facing hunger. Man up acha utoto.
 
Back
Top Bottom