Uhehehhehehehe unataka kushindana na tanzania kwenyw sector gani hebu taja mojaHebu tengenezeni yenyu ya "success" angalau tuione, ama yule jamaa wa kigari cha ajabu mlimfurusha kwa maajabu yale! 🤣
Ya kwenu hii BJ 50Hebu tengenezeni yenyu ya "success" angalau tuione, ama yule jamaa wa kigari cha ajabu mlimfurusha kwa maajabu yale! 🤣
Kama vile JPM aliwafanya chini kwa chini huku mkimsifia kwa kujifukiza? 😂 😂 😂 Mitano tenaaaa... Ah misita kweli!!! 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe maskini wa kibera mama Ngina anawachezesha kwata
View attachment 1759567
Sasa huyu jamaa na yule wenyu, nani mwenye afadhali. Nafkiri jibu unalo! 🤣Ya kwenu hii BJ 50
View attachment 1759569
Hii ya mama Ngina inanifanya nitoe machoziKama vile JPM aliwafanya chini kwa chini huku mkimsifia kwa kujifukiza? 😂 😂 😂 Mitano tenaaaa... Ah misita kweli!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwisha wewe, unaniuliza sasa, umeshindwa kutetea raia wa kwenyu!? 🤣Uhehehhehehehe unataka kushindana na tanzania kwenyw sector gani hebu taja moja
Kajifukize kwanza alafu uje tuongee, mama wa taifa, wacha ale kwa raha zake. Nyinyi mwaibiwa kweupe bila kujua, duh! 🤣Hii ya mama Ngina inanifanya nitoe machozi
View attachment 1759572
Mama anakula hela ndefu kukushinda, pole jamani. Na hapo hujapiga hesabu ni mwanamke mwenye donzi wa ngapi Afrika, dadeki! 🤣Hii ya mama Ngina inanifanya nitoe machozi
View attachment 1759572
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji382]Please ask those goons to show you anywhere that Tanzania has been ranked ahead of Kenya in terms of development, I'm waiting for their answer.
Mzee hiyo website registered by enom.com. unataka tukuaibisheHehehe kelele za tuko na dollar millionaires wengi kuliko Kenya imeisha🤣🤣😂🤣🤣. ichoboy01 , The best 007 , joto la jiwe ,Geza Ulole are you ready for what I'm about to post?
The latest wealth report released today
Maana itazidi kuwamaliza. Huku mama Ngina akila raha upande mwingine wa Kenya wanaliaMama anakula hela ndefu kukushinda, pole jamani. Na hapo hujapiga hesabu ni mwanamke mwenye donzi wa ngapi Afrika, dadeki! 🤣
Usijali, ni hali ya maisha. Kuna walionazo na wenye hawana, kila pahali kuko hivyo. Hata kwenyu, hapo ulipo labda wewe pia, hamnazo, ni mwendo wa uji na sembe, dadeki! 🤣 🤣 🤣Maana itazidi kuwamaliza. Huku mama Ngina akila raha upande mwingine wa Kenya wanalia
View attachment 1759597View attachment 1759598
Wenye nazo ndio hawa sasa wanatembea na maviUsijali, ni hali ya maisha. Kuna walionazo na wenye hawana, kila pahali kuko hivyo. Hata kwenyu, hapo ulipo labda wewe pia, hamnazo, ni mwendo wa uji na sembe, dadeki! 🤣 🤣 🤣
Wataka kukopeshwa nini? 😂Wenye nazo ndio hawa sasa wanatembea na mavi
View attachment 1759605
Wataka kukopeshwa nini? 😂Wenye nazo ndio hawa sasa wanatembea na mavi
View attachment 1759605
Achana na hao bank from Mauritius chukua hii toka kwa taasisi yenye kazi hiyo. Eti unaweka kabisa source from Mauritius zen unawaacha wenye mandate yaoFor those who are lazy to read that article. Here are some screenshots.
Let's start with this [emoji1][emoji116][emoji116]
View attachment 1759574
Then this[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1759577
Someni hizo as you still digest [emoji1787][emoji1787][emoji23]