๐๐๐๐๐๐chukua somo hapaAkili yako pumba sana, aliyesema ni ya kenya ni nani, wako na branch Kenya, eka hiyo kwa akili yako finyu. Alafu ujue wenye kampuni wakitaka kufungua pahali popote pale, hawana shida, hela ipo, kijana.
Hata wakichoka na Kenya watatoka na wengine kuchukua nafasi hiyo! ๐คฃ
Kwani isuzu ni kampuni ya japan?? Hvi kuna sababu gani yakugungua tanzania wakat kenya ipo?? Na kenya ni pua na mdomo kwann waje tanzania mm nakwambi biashara ya isuzu kenya ilishafika kikomo ๐ ๐
Where is evidence kwamba tuamini porojo ulizoongea ni sahihi ๐๐๐๐ unaongelea moboius toka zimetengezwa nani na nani wamenunua au ni failed projectsNimekuuliza, what's the cause of panicking, wakati naona maajabu... On.. Off... Zipelekeni kwa fundi Johny! Dadeki! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Maeneno mengiiiii porojo kibaoooo matumaini kibaooo ukiombwa evidence unalia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAkili yako pumba sana, aliyesema ni ya kenya ni nani, wako na branch Kenya, eka hiyo kwa akili yako finyu. Alafu ujue wenye kampuni wakitaka kufungua pahali popote pale, hawana shida, hela ipo, kijana.
Hata wakichoka na Kenya watatoka na wengine kuchukua nafasi hiyo! ๐คฃ
@komora096 njoo uone Benz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1139][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Inakaa kama chasis ya Ashok Leyland vile?
Maana Mercedes Benz coaches hukaa hivi
[emoji23][emoji1787][emoji1787] kioo cha mbele kina macho mawiliaongoze tuu SI raisi wangu!!
ila lete model ya hii sufuria hapa [emoji90][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]View attachment 1759152
eti Benz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1139][emoji90][emoji1787][emoji90][emoji1787][emoji90][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji23][emoji1787][emoji1787] kioo cha mbele kina macho mawili
Olaa, nimerudi tena! ๐ Yule jamaa yenyu,(labda hata ni wewe) aliyenitumia hii mnyama ya benz, mbona alikuwa muongo alafu akili mbovu. Anadai ati 'la Bongo hilo' wakati nambandikiza ya KE original. Yeye yuko Google, kuiba picha za benz na kuzileta hapa bila kujua kuna wasee wa intelligence hapa, haha. Hebu ajitokeze aombe msamaha kabla hajakula kibiti!!! Kudadadeki zake!!! Utopolo wa hali ya juu!!! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃaongoze tuu SI raisi wangu!!
ila lete model ya hii sufuria hapa [emoji90][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]View attachment 1759152
Bro, take it from me. Mtanzania wa kawaida ana maisha mazuri kuliko mkenya wa kawaida. Iko hivyo kwa kila daraja. Tajiri wa Bongo yuko far better off kwa tajiri wa kikenya. Hata maskini wa Tanzania anayeshindia michicha na ngunyani alivyopanda upenuni yuko far well off ikilinganishwa na masikini wa Kenya.Ninyi hamna maisha mazuri kuwazidi Namibia, Botswana, Eswatini, Angola na hata Rwanda lakini cha ajabu eti mpo juu yao how? Mimi kipimo changu cha maendeleo ni provisions of social services and common citizens well-being
Masikini wa mwisho kutoka hayo mataifa akija Kenya ni mtu mwenye kipato cha wastani
Miundombinu na huduma za jamii, urahisi wa maisha kutoka kwenye hayo mataifa ukilinganisha na nchi ya nairobi (sababu Kenya ni nairobi tu) ni mbinguni na kuzimuni
That's why mpo nafasi msiostahili kabisa especially kwa sisi tunayoijua Kenya ilivyo na maisha magumu
Aliyekwambia GDP ndiyo kila kitu itakuwa alijua kuwa wewe hupokea chochote usikiacho. India ina GDP kubwa kuliko Uingereza na Japan. Unadhani maisha ya hizo Jamii yanakaribiana? Nyie mnayo GDP kubwa ila maisha yenu magumu kuliko hata Wamalawi ambao ni LDC.GDP ndio kila kitu linapokuja swala la uchumi katika nchi, na ukumbuke nchi yenye uchumi imara kupata maendeleo haikawii bora mpate kiongzoi bora tu..
We unafikiria kenya bila ufisadi sai tungelikua wapi ki nchi licha ya skendo zote zile, yani ukanda huu ingelikua hamtugusi jomba wenzetu wangelikua akina sauzi sema tu viongozi wanatubwaga lkn hapo hapo ma lazy tunawagonga
Hivi pia wataka kulazimisha Isuzu iwe kampuni ya Kenya, loh, wee boya kweli!Kwani isuzu ni kampuni ya japan?? Hvi kuna sababu gani yakugungua tanzania wakat kenya ipo?? Na kenya ni pua na mdomo kwann waje tanzania mm nakwambi biashara ya isuzu kenya ilishafika kikomo ๐ ๐
Isuzu ni Mmarekani GM? Nimekuta ni Mjapan mmarekani alijitoa!Kwani isuzu ni kampuni ya japan?? Hvi kuna sababu gani yakugungua tanzania wakat kenya ipo?? Na kenya ni pua na mdomo kwann waje tanzania mm nakwambi biashara ya isuzu kenya ilishafika kikomo ๐ ๐
Hivi mnapata wapi guts za kujilinganisha na Tanzania kwenye haya mambo? Ila wakenya mna ujasiriUliona wapi TRAFFIC LIGHTS ๐ฅ zinafanya kazi, half of the time??? Yaani Wachina wamewauzia ma toy ya 'Zhongshan Guzhen' mkaeka mkidhani original, dah! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Well said comradeBro, take it from me. Mtanzania wa kawaida ana maisha mazuri kuliko mkenya wa kawaida. Iko hivyo kwa kila daraja. Tajiri wa Bongo yuko far better off kwa tajiri wa kikenya. Hata maskini wa Tanzania anayeshindia michicha na ngunyani alivyopanda upenuni yuko far well off ikilinganishwa na masikini wa Kenya.
GDP ya Kenya ni at the expense of maisha ya wananchi wengi tofauti na Tz ambako kwa sehemu kubwa uchumi ni shirikishi na tunagawana umaskini bila pengo kubwa. GDP ya Kenya iko owned na watu wachache sana.
Ila ukweli usemwe TBC na hasa Rioba a me play part kubwa sana kwenye kuchochea uzalendo wa Tanzania toka JPM amuweke pale, contents za tbc zimekua ni tanuru la uzalendo mwanzo mwishoNiaje wakuu.
Leo naomba tusiache kuangalia TBC1 tatu kamili usiku. Yule MD wetu mzalendo wa TPDC Dr.James Mataragio atakuwa on table na Dr. Ayoub Rioba.
Mada itahusu manufaa yatakayopatikana kutokana na mradi wa bomba la mafuta (Hoima - Tanga).
Japo manufaa yanafamika ila kuna "madini" mengi ya kupata kutoka kwa watu kama hawa hasa wanapohojiwa na wanahabari wazalendo.
Natamani Dr. Rioba achomekee ishu ya gesi ili tupate walau majibu kidogo ya yale maswali yetu yanakosaga majibu humu.
Kwa wasiomjua Dr. Mataragio. Iko hivi: Huyu mkali ndiye yule alisimamishwa na bodi ya TPDC mwaka 2017 wakimtuhumu kwa "utendaji hafifu". Come 2019 mwamba JPM kausoma mchezo wao kwamba jamaa ndiye alikuwa kikwazo kwa mpango wao wa kuuza/kugawa vitalu viwili vya gesi ambavyo viliponea chupuchupu enzi za uhuru wa manyani.
Come 2021 huyu bi mdashi wenu alimla kichwa usiku. Kufika asubuhi kamrejesha kitengoni maana ilikuwa aibu.
Note kwa wanetu wa Kenya:
Hiki kipindi naomba nyie pia mtazame maana faida za hii project haziishii kwetu tu. Total watajenga facilities Tanga ambazo zitawanufaisha nyinyi pia. Badala ya kuimport Petro products kutoka Ulaya na Middle East, nao mtakuwa mnakuja tu Tanga one time.
Umeona venye mnafeli? ๐ ๐ ๐Isuzu ni Mmarekani GM? Nimekuta ni Mjapan mmarekani alijitoa!