Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are too dark
 
Shuttles ndio hzo tour vans hko kwenu ama ilikua umechanganyikiwa kiasi
 
Shuttles huwezi gusa, yani hyo sekta achana nayo kabisa
Nilimgusia jana "Ena Shuttle", ndani ka white house, yaani full customized, wafika kwenyu watamani kurudi ulikotoka na full in-bound services. Hajui huyo, yeye ameletewa BRT, akanyamazishwa! 🤣
 
Nilimgusia jana "Ena Shuttle", ndani ka white house, yaani full customized, wafika kwenyu watamani kurudi ulikotoka na full in-bound services. Hajui huyo, yeye ameletewa BRT, akanyamazishwa! 🤣
😀 😀😀 Jifunzeni kwanza kuoga. Na mjifunze kuwa wastaarabu
 
Pwahahaha umeona lakini hapo katikati anatoa uchafu!? Picha haidangayi 😀
 
We unataka malindi mombasa nipande, yani la nini haswa[emoji2960]
Vipo vyuma kazi yake ni hyo, yani express unadunda mbele ya basi na unarudiView attachment 1758181View attachment 1758182
Wacha nikija na nyanga ndio watajua, michezo yetu sia utoto, hata "Cardi B" na "Actor Robert Knepper"(prison break) who played Theodore “T-Bag” wanajua hivyo ndio maana wakayasifu kwenye Twitter! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Tz hawawezi ile maneno, wajaribu waone vile yatatisha alafu hapo watafute kushikwa na "jeshi" la polisi kwa kuvunja sheria, eti wanapotosha jamii ya Muungano... Mamaaa!!!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 BORA NIHAME MIMI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…