Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Branch mkuu, naona walia sana, nikuachie hilo basi nini? Unaona tulivyo yafanya, umeanza wivu? π π π πbado mtu atataka kubishana hata na maadmn wa page ya tahmeed
View attachment 1757737View attachment 1757738
povuuu,,,,,,,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kampuni 100 zote za nn hzo[emoji1787][emoji1787]
Ndio manake upande wa anga tumewapiga gepu kubwa sana mumbe wengi wenu wanategemea mabasi sana
Sasa wewe ulitembea na Vi shuttle Nissan, sio bus, kuna tofauti ujue! π€£We endelea kujichekesha mzee , izo ndio matatu zenu mnazotumia Nairobi Eldoret kitale busia mzee bado unabishiaa πππ mabasi machache sana uko mm najua kwa sababu nishasafiri sana pande izo Eldoret express ndio mkombozi wenu na akamba ila akamba ashakufa
Ni hizi companies mbili tu zipo Kenya?
mzee inatosha ushatia adabu watu,,,maana wanaishia kurudia kupost mabus hayo hayo tu. .
Sufuria sio, povuuu povuuu. Kubali tu chombo kimesimama kinyama vile! π€£ π€£ π€£Sufuria hizi zikiingia mzani zinazid mzaniii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatujarudia kitu, ata wewe wajua. Nawapa time mng'are! π€£mzee inatosha ushatia adabu watu,,,maana wanaishia kurudia kupost mabus hayo hayo tu. .
umenyoosha kunguni wa kikenya[emoji1787]
Pitia uzi vizuri, kurukia rukia mashaza sio kuzuri!Ni hizi companies mbili tu zipo Kenya?
Sufuria mzee. Hala tunatka luxury bus kamaSufuria sio, povuuu povuuu. Kubali tu chombo kimesimama kinyama vile! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Companies zote za bus Kenya ni sawa na company 2 za TanzaniaVenus Star acha ku post michina, tuwekee vitu vya adabu km hiviView attachment 1757391View attachment 1757392View attachment 1757395
Nirukie wakati nilishakupiga vitasa mpaka ukakiri mwenyewe Kenya ni nairobi tu wakati Tanzania development ni kila kona?Pitia uzi vizuri, kurukia rukia mashaza sio kuzuri!
Mzee. Mtu mzima ukivuliwa nguo ni vyema kuchutama.
Kila kona, uko sure? π π π Kenya sio Nairobi, kuzuri kwingi tu sana, tembea uone!Nirukie wakati nilishakupiga vitasa mpaka ukakiri mwenyewe Kenya ni nairobi tu wakati Tanzania development ni kila kona?
Baada ya kichapo mliowapa, wanapenda pa kutokea eti wao wanafly hivyo mabasi kwao sio deal, wenyewe ni watu wa flights tuu π€£Mzee. Mtu mzima ukivuliwa nguo ni vyema kuchutama.
Tuendelee na jambo jingine. Connection ya barabara toka Region/County kwenda nyingine na urefu wake.
Salaaala!!! π€£ Yaani ule mtambo unaufananisha na haya matofali? Hebu rudi nyuma uukague vizuri mkuu! π€£Sufuria mzee. Hala tunatka luxury bus kama
[emoji116][emoji116]View attachment 1757784View attachment 1757785View attachment 1757786View attachment 1757787View attachment 1757788