Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wawekeeni mazingira safi wacheni upuuzi, mtoto unapomuweka kwenye mazingira hayo anakosa uzalendo kwa nchi yake ndo mana viongozi wengi wa Kenya co wazalendo kutokana na maisha ya nguruwe waliyokutana nayo utotoni [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule ka hizo ndio yule mwalimu bora duniani wa ule mwaka alikuwa anafundisha hadi akaenda high school bado ya kijijini, mwisho wa siku ilikuwaje. Mapeni kibao kazawadiwa, anajulikana duniani kote, na la mwisho... Nitajieni mwalimu aliyefanya ka yeye, kuinua wanafunzi wa vijijini kuwa Smart kuwashinda wa shule bora Kenya!? 🀣 🀣 🀣 (teacher Tabichi) nenda ka revise πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…