Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Nionyeshe yenye logo ya Tz, staki za watu!Nyie hamna hata moja!
H225M super cougar
![]()
H215M cougar
![]()
Nionyeshe yenye logo ya Tz, staki za watu!Nyie hamna hata moja!
H225M super cougar
![]()
H215M cougar
![]()
Mzee najua wapo wakenya wajanja ambao sio washamba kama wewe wanabadili. Wikipedia is a free data collection system. Ndio maana wanaweka na reference from reliable source not only Wikipedia.Hio wikipedia haijabadilika. Nenda mwenyewe kwenye page ya Kenya airforce uone. Haijabadilika chochote. Changes za Venus Star hazijakuwa saved.
Wewe endelea kuchunga pesa za watu achana na issue za majeshi.Siku njema wadau. Venus Star punguza ubishi. Heri ungekuwa wakili maana unapenda ubishi sana.
Hio wikipedia haijabadilika. Nenda mwenyewe kwenye page ya Kenya airforce uone. Haijabadilika chochote. Changes za Venus Star hazijakuwa saved.

Wamejaribu kuibadilisha lakini tuna machimbo kibao tu, Wikipedia ni utopolo![]()
amenuna anadai namtukana!
Nikufundishe kijana. Ukiona aircraft yoyote yenye prefix 5H ujue ni ya Tanzania.Nionyeshe yenye logo ya Tz, staki za watu!
Kwani we mgeni humu au?Nionyeshe yenye logo ya Tz, staki za watu!
Alisema The best 007 kuwa maneno ya mkunya chukua moja tu kwenye mia tena hilo moja hakikisha unalichunguza.Hili jitu unajua linaitwaje? Jitu linafanya mashambulizi ya hakika. Jitu linaitwa Harbin Z-9. Tunazo sita wakati nyinyi mnaringa na helicopter mbili.
View attachment 1755926View attachment 1755927View attachment 1755928
Naanza kupiga dozi sasa nenda Wikipedia sasa
View attachment 1755929
😂 😂 😂Haijabadilika chochote. Page bado inasoma 152 aircrafts. Venus Star wacha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Haha haha. Tunapambana nao kweli.
Nataka flag wewe, staki wing number, ujanja sipendagiNikufundishe kijana. Ukiona aircraft yoyote yenye prefix 5H ujue ni ya Tanzania.
Tafuta 5H-TAF.
Sijui, nambie wewe!
Unataka flag kama nani!? Who are you to demand The flag of The United Republic of Tanzania!?Nataka flag wewe, staka wing number, ujanja sipendagi
jamaa analia ati namtukana!Haha haha. Tunapambana nao kweli.
Sasa umenichanganya kabisa, hebu soma alafu uniambie unaniuliza nini? 😂Unataka flag kama nani!? Who are to demand The flag of The United Republic of Tanzania!?