Msukuma hana sababu ya kujiweka chini kwasababu ya kuwa "LY", akili na uwezo wa kuzaliwa anao, madarasa ni vitendea kazi tuu.kitu nilichonotice biteko ni waziri sahihi wa madini.. yeye sio msomi sana ila ana uzoefu na uchimbaji wa madini.. anatokea geita.. sidhan kama angekuwepo wazir (Dr. au Prof). ambae sio mwenzeji wahio mikoa angefanikiwa kama biteko
msukuma anaongeaga points sana japo eti LY[emoji23]
Last Year (mwaka wa mwisho wa kumaliza shule ya msingi).LY ndo nn?
Huyu mzee licha ya maslahi ya taifa lake lkn huwa anaonesha mapenzi ya dhati kwa Tz na hajawahi kusahau kulipa fadhila kwa Tz tofauti na SA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hangover ya mikataba ya weekend kati ya Tanzania na Uganda!
😃 Nafikiri hapa wametazama zaidi maswala ya aircraft efficiency, especially kwenye angle ya fuel burnt unaweza ukakuta kuruka na gulfstream ni gharama kubwa zaidi kuliko ukiruka na airbus,ila naamini ile 5H-ONE interior itakuwa bomba sana kuliko airbus maana iko customized afu ni presidentialAisee mama anapenda kukwea pipa, tofauti na JK aliyekuwa anajibana bana kwenye kale ka Gulfsream yeye anajimwaga kwenye li Airbus.
Na advantage nyingine ya airbus inaweza kwenda na mama ikamuacha then wkt wa kurudi ikarudi kibiashara tofauti na gulfstream.😃 Nafikiri hapa wametazama zaidi maswala ya aircraft efficiency, especially kwenye angle ya fuel burnt unaweza ukakuta kuruka na gulfstream ni gharama kubwa zaidi kuliko ukiruka na airbus,ila naamini ile 5H-ONE interior itakuwa bomba sana kuliko airbus maana iko customized afu ni presidential
Ni utani tuu usichukulie serious, ila inawezekana 5H-ONE inahitaji kufanyiwa matengenezo mara ya mwisho kuiona ilikuwa wakati kabudi anaenda Madagascar.Na advantage nyingine ya airbus inaweza kwenda na mama ikamuacha then wkt wa kurudi ikarudi kibiashara tofauti na gulfstream.
We jamaa kumbe mweupe sana, ukifanay biashara alafu una deni utaanzaje kulipa madeni ya watu mpka uje ujikute umepata hasaraHasara inalipwa na nani au unafkiri pesa za mama ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taxpayers to bailout KQ as it sinks into a further $130m loss, and still grounded | The East African
Taxpayers footed Sh125b KQ debt, new report shows
Taxpayers footed Sh125b KQ debt, new report showswww.standardmedia.co.ke
Source, press release[emoji23][emoji23]Ndio mulidanganywa na kenyataa hvo
3 owned and fully paid
17 loan from foreign banks
20 leased
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ww na macharia nani anajua zaidi View attachment 1751140View attachment 1751142
Haya tuambie hzo ndege 20 lini mulilipa mukawa nazo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] aliewaroga nyinyi alizikwa mwaka 1860
Bado hatujaunganisha pesa za walipa kodi zilizotunika kinyume na katiba kukomboa hayo mapipa..Atacl bado serekali ina invest haiwezi tegemea faida kwa muda mfupu bado kuna ndege zaidi ya tano zishalipiwa zinakuja bado investment inaendelea leo utafananisha hasara ya ATCL five yrs ni 27m usd against hasara ya kq mwaka mmoja tu 333m usd akili yako iko sawa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The star[emoji23]
Nchi yenu ishajinyea, mtu anawekeza zaidi ya dollar bilioni moja katika mradi wa bahati nasibu[emoji2960]utaelewa siku KQ inazikwa kikamilifu
Wataka km hyo au bora zaidi mzee baba, ama ni vile uneumia kuona nimesema ukwelukinionyesha pedestrian overpass yenye steel structure kama hiyo in the whole of Kenya nahama JF!
Huyu jamaa wakati akiwa waziri ndio Kuntaland walisign bomba la mafuta la ug. Plus mambo ya escrow.. jpm alifanya jambo la maana sana kumpiga chini.Hivi vitasa aisee....sijui kama Muhongo atarudi Bungeni!