Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
We jamaa ujaelewa pointi yangu tunakipromote kiswahili iwe lugha ya Africa sasa sisi wenye lugha tunaongea kingereza alafu Uganda hapo ingekuwa nchi ya mbali angalauMwalimu nyerere alikua anaongea kingereza safi akiwa nje kwani alimzuia kua mtanzania mzalendo?
Mutalipa na sasa munakopa eurobond kulipa loan 🤣🤣🤣 kopa hadija lipa jumaSa we ni pesa inakutia wasiwasi,😂😂tutalipa na hio expressway na SGR zitabaki nasi forever,,
Hamujui mchawi nani kwani 🤣🤣👇👇KQ inaujua utamu wa faida, ndio manake bado wanatafuta mchawi nani ndio irudi katika zama zake za kupiga mpunga..
Lkn tukija upande wa south faida kwenu hata hamjui zinakaaje katika shirika lenu la ndege
Ndio mulisanganywa na kenyataa hvo
3 owned and fully paid
17 loan from foreign banks
20 leased
😂😂😂😂👇👇👇👇 ww na macharia nani anajua zaidi View attachment 1751140View attachment 1751142
Uo mjengo wenye mnara aisee unawapaishaa 🤔
Uzuri ni kuwa Majaliwa, Mpango, Rais Hussein na Mzee Mwinyi hawako kwenye kundi lile na Hussein yuko well connected na mabakabaka na pia amelelewa kwenye system. Mama hana budi kumsikiliza.safii aachane wanaotaka kum-distract!
Mmnara pekee una mita 60 😁😁😁Uo mjengo wenye mnara aisee unawapaishaa 🤔
Sio kila muda ni wa promotion sasa kaa ukijua iloWe jamaa ujaelewa pointi yangu tunakipromote kiswahili iwe lugha ya Africa sasa sisi wenye lugha tunaongea kingereza alafu Uganda hapo ingekuwa nchi ya mbali angalau
Mama karudi DOM
RCs na DCs wajiandae [emoji23][emoji23][emoji23]Haya karudi dodoma sasa makao ya nchi
Hivi vitasa aisee....sijui kama Muhongo atarudi Bungeni!
LY ndo nn? Huyu Prof Muhongo tatizo lake anasujudu sana nadharia za kibeberu yaani ana ukibaraka na pia ana machungu ya kukosa Uwaziri! Anakosa common sense ya kumuambia miradi kama hydropower ina chain effect kubwa kwa local industries and local population yaani cement, aggregates and steel and many local manual jobs unlike miradi kama ya geothermal ambayo zaidi ya drilling all heat harnessing plants and power generation plant r imported from abroad ready to be assembled by expatriates meaning creating jobs overseas and to expatriates up to 95%!kitu nilichonotice biteko ni waziri sahihi wa madini.. yeye sio msomi sana ila ana uzoefu na uchimbaji wa madini.. anatokea geita.. sidhan kama angekuwepo wazir (Dr. au Prof). ambae sio mwenzeji wahio mikoa angefanikiwa kama biteko
msukuma anaongeaga points sana japo eti LY[emoji23]
naona kama Jokate ataukwaa u-RC!RCs na DCs wajiandae [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna dash 8 q 300 moja ipo kabla ya hzo ndege kununuliwa
Acha kukaza fuvu mzee kama raisi wa msumbiji aliongea kiswahili kwenye maxis him ya jpm na museveni nae anaongeaga kiswahili sembuse yy, we unaona jambo dogo ila ni kubwa na muhimuSio kila muda ni wa promotion sasa kaa ukijua ilo