babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,510
- 36,217
[emoji120]Nipo naangalia live kupitia TBC.
Sema wimbo wetu wa Taifa ni mzuri sana..kiasi kwamba huwa ukipigwa machozi hunilenga lenga kwa mbali.
Nakupenda Tanzania.
Naona kiswahili kimetamalaki[emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji382][emoji382]Jeshi la Uganda wanafanana kila kitu na JWTZ hata hii midundo ya [emoji448][emoji449] wanazo piga...ushahidi mwingine kuwa Tanzania ndio imewatengenezea jeshi na imewafundisha [emoji4][emoji4][emoji4]
Naomba utambue kua Uganda ni TZ II, Kuanzia Rais M7 alishakiri hilo kua yeye ni MTZ pia ni Mganda hapo ndo utajua, Tanzania ni nani ukanda huu.Jeshi la Uganda wanafanana kila kitu na JWTZ hata hii midundo ya [emoji448][emoji449] wanazo piga...ushahidi mwingine kuwa Tanzania ndio imewatengenezea jeshi na imewafundisha [emoji4][emoji4][emoji4]
Kila mwaka Waganda wengi huitimu kozi mbalimbali pale Monduli na vyuo vingine vya majeshi yetu.Naona kiswahili kimetamalaki[emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji382][emoji382]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba utambue kua Uganda ni TZ II, Kuanzia Rais M7 alishakiri hilo kua yeye ni MTZ pia ni Mganda hapo ndo utajua, Tanzania ni nani ukanda huu.Jeshi la Uganda wanafanana kila kitu na JWTZ hata hii midundo ya [emoji448][emoji449] wanazo piga...ushahidi mwingine kuwa Tanzania ndio imewatengenezea jeshi na imewafundisha [emoji4][emoji4][emoji4]
Leo at least nmejisikia furaha sn.Kila mwaka Waganda wengi huitimu kozi mbalimbali pale Monduli na vyuo vingine vya majeshi yetu.
Hilo natambua mkuu.Naomba utambue kua Uganda ni TZ II, Kuanzia Rais M7 alishakiri hilo kua yeye ni MTZ pia ni Mganda hapo ndo utajua, Tanzania ni nani ukanda huu.
Naomba utambue kua Uganda ni TZ II, Kuanzia Rais M7 alishakiri hilo kua yeye ni MTZ pia ni Mganda hapo ndo utajua, Tanzania ni nani ukanda huu.Jeshi la Uganda wanafanana kila kitu na JWTZ hata hii midundo ya [emoji448][emoji449] wanazo piga...ushahidi mwingine kuwa Tanzania ndio imewatengenezea jeshi na imewafundisha [emoji4][emoji4][emoji4]
Naomba utambue kua Uganda ni TZ II, Kuanzia Rais M7 alishakiri hilo kua yeye ni MTZ pia ni Mganda hapo ndo utajua, Tanzania ni nani ukanda huu.Jeshi la Uganda wanafanana kila kitu na JWTZ hata hii midundo ya [emoji448][emoji449] wanazo piga...ushahidi mwingine kuwa Tanzania ndio imewatengenezea jeshi na imewafundisha [emoji4][emoji4][emoji4]
Naomba utambue kua Uganda ni TZ II, Kuanzia Rais M7 alishakiri hilo kua yeye ni MTZ pia ni Mganda hapo ndo utajua, Tanzania ni nani ukanda huu.
Keshatambua tayari mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Naomba utambue kua Uganda ni TZ II, Kuanzia Rais M7 alishakiri hilo kua yeye ni MTZ pia ni Mganda hapo ndo utajua, Tanzania ni nani ukanda huu.
Naomba utambue kua Uganda ni TZ II, Kuanzia Rais M7 alishakiri hilo kua yeye ni MTZ pia ni Mganda hapo ndo utajua, Tanzania ni nani ukanda huu.Jeshi la Uganda wanafanana kila kitu na JWTZ hata hii midundo ya [emoji448][emoji449] wanazo piga...ushahidi mwingine kuwa Tanzania ndio imewatengenezea jeshi na imewafundisha [emoji4][emoji4][emoji4]
Naomba utambue kua Uganda ni TZ II, Kuanzia Rais M7 alishakiri hilo kua yeye ni MTZ pia ni Mganda hapo ndo utajua, Tanzania ni nani ukanda huu.Jeshi la Uganda wanafanana kila kitu na JWTZ hata hii midundo ya [emoji448][emoji449] wanazo piga...ushahidi mwingine kuwa Tanzania ndio imewatengenezea jeshi na imewafundisha [emoji4][emoji4][emoji4]
Huo mradi wa EACOP ni mradi mkubwa sana mkuu.
Hata mwaka jana alipo enda kumwakilisha JPM kwenye mkutano wa SADC kule Gaborone Botswana alivaa mask.Naona mama Samia kavaa mask katika hafla inayofanyika Uganda. Hio ni ishara nzuri kwamba Mhe Samia anaheshimu sayansi na hafuati ramli zinazopigwa na waganga vijijini.
Halafu suala ni sheria za mwenyeji wako! Huwezi kwenda kama mgeni halafu ukadharau sheria zilizopo!Hata mwaka jana alipo enda kumwakilisha JPM kwenye mkutano wa SADC kule Gaborone Botswana alivaa mask.
Nikuulize swali, hizo sayansi mnazopigia upatu mbona hazija tokomeza kirusi hadi sasa hivi?
Yes, hata ukinitembelea kwangu ni lazima ufate sheria za nyumbani kwangu.Halafu suala ni sheria za mwenyeji wako! Huwezi kwenda kama mgeni halafu ukadharau sheria zilizopo!
[emoji23][emoji23][emoji23] sorry Best, imejipost multiple times
Kama n science basi imefeli miserably kwenye suala ya kuidhibiti Corona, ila kama ni kwa lengo la kuifanya dunia ijiingize katika season nyingine ya Great Economic Depression ambapo AFRICA ndo ataathirika zaid, basi tuendelee kufuata drama zao.Naona mama Samia kavaa mask katika hafla inayofanyika Uganda. Hio ni ishara nzuri kwamba Mhe Samia anaheshimu sayansi na hafuati ramli zinazopigwa na waganga vijijini. Corona haina tiba na haitibiwi kwa uganga wala uchawi, fuateni sayansi muwache mambo ya kupiga nyungu.