The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Kanchi kenyewe hakana mali za kutosha na kamejichokea kweli kweli lkn wanakapiga mtungo hivyo hivyo, beberu kweli noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmarekani wanashindana na Mchina kumteka Kenya kwa madeni,( mwenye dau kubwa kumpata mwali)
Ehe,2025! TusubiriMama akirudi kutoka Dodoma, hapa mzee alikuwa anatumia gari ili kusikiliza wananchi njiani uko, anyway kila kitabu na nabii wake.View attachment 1743028
Yeah naona siasa zimezidiNaona unarudisha uzi kwenye default, safi sana mkuu.
Kanchi kenyewe hakana mali za kutosha na kamejichokea kweli kweli lkn wanakapiga mtungo hivyo hivyo, beberu kweli noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka niseme nini?
waacha upotofu huwezi m-judge mama Samia in 2 weeks ndo maana presidential term ni 5 years! BTW inajulikana sababu ya kutumia gari badala ya ndege alikuwa na heart pacer machine ambayo inashauriwa kuepuka usafiri wa ndage! Isitoshe motorcade ya JPM ilikuwa gharama kuliko hata hiyo ndege! Na ilikuwa inaondoa imani kwa taasisi zilizo chini yake! Angeweza kuziboresha hata bila ya kuongea na wananchi mitaani!Mama akirudi kutoka Dodoma, hapa mzee alikuwa anatumia gari ili kusikiliza wananchi njiani uko, anyway kila kitabu na nabii wake.View attachment 1743028
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]imenibid niedit hii [emoji23][emoji23]
View attachment 1743174
Tanzania imechukua chini ya $30 mln! Na hatuchekani wote tuko kwa travel ban!Unataka niseme nini?
Hii imekaaje yaani hayo mataifa na financial institutions zinataka kufanya kubaka underage au?imenibid niedit hii [emoji23][emoji23]
View attachment 1743174
Ebu tetea taifa lako mkuu, mnachukua mikopo mikubwa ilihali vitu kwa ground havionekani ila wakenya kwa ufisadi nme🙌🙌Unataka niseme nini?
Looks beautiful, who is the owner
China owned expressway.Expressway taking shapeView attachment 1743236